Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAY NA KIZUNGU ZUNGU CHA MAHABA NIUE

Sakata la Nay wa Mitego na Aliyekuwa Mpenzi wake Siwema limeingia ukurasa mpya baada ya Siwema Kumjibu Nay wa Mitego na Kusema mambo makubwa yakustusha.....Haya ni Maneno aliyosema Siwema baada ya Nay Kumwacha na kumyang'anya Mtoto kwa Shutuma za kumfumania na Mwanaume Kitandani:"Daah, siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt, iko hivi:@nay, naomba usisahau kama ni wewe uliniambia nitafute boyfrnd.. tena ulintukania hd mamang marehem, nilikushukuru tu.. nilikaa kimya kwa siku kadhaa but...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

11 years ago

GPL

LUNGI NA MAHABA NIUE

MAKUBWA! Baada ya kujichora tatuu mbalimbali mwilini mwake, kuonesha amechizika kimalovee, mwigizaji Lungi Maulanga amechora moja yenye sura ya mpenzi wake ambaye hakutaka kumtaja. Mwigizaji wa Bongo Muvi, Lungi Maulanga. Akipiga stori na mwanahabari wetu, Lungi alisema kuwa ana tatuu 12 mwilini mwake ambazo alizichorea pande za Dubai alipokuwa ameenda kutembea lakini mahaba niue ndiyo yalimtuma achore hiyo yenye muonekano wa...

 

11 years ago

GPL

SNURA AGANDWA NA MAHABA NIUE

STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi anaonekana kugandwa na mahaba niue baada ya hivi karibuni kuanika hisia zake na kuonesha dhahiri kuwa amezama vilivyo kwenye penzi motomoto la jamaa yake aitwaye Hunter Sleiyum.  Staa wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi akiwa kwenye mahaba mazito na boyfriend wake aitwaye Hunter Sleiyum. Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, Snura aliwataka wanaume wakware waache kumsumbua kwa sababu...

 

9 years ago

Bongo Movies

Diamond, Kajala Mahaba Niue!

NI gumzo! Ubuyu motomoto ambao unasambaa kwa kasi ya ajabu kama moto wa kifuu mjini unadai kuwa,  staa nambari moja Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mwigizaji Kajala Masanja wamedaiwa kuwa ni wapenzi na sasa ni mahaba niue, Risasi Jumamosi limesheheni full stori.

TUJIUNGE NA CHANZO

Kwa mujibu wa chanzo makini, uhusiano wa Diamond na Kajala  unadaiwa kuibuka ghafla miezi kadhaa iliyopita lakini wamekuwa wakifanya siri nzito kabla ya hivi karibuni kukolea zaidi baada ya mpenzi...

 

10 years ago

GPL

WEMA, IDRIS MAHABA NIUE!

WAANDISHI WETU
WAPENZI? Kwa mara nyingine Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu amesababisha kichwa cha habari kufuatia kunaswa ‘live’ usiku mnene akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan wakioneshana vitendo vya ‘nakupenda tu’ mbele ya kadamnasi, Risasi Mchanganyiko lina mkanda kamili. Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu akiwa na mshindi wa Shindano la Big Brother...

 

10 years ago

GPL

MAHABA NIUE YAMFICHA SNURA

Na Mwandishi Wetu MAHABAT! Kuonesha kwamba mahaba yamemkolea, staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ amedaiwa kukacha shughuli za muziki na kutumikia penzi lake kwa mahaba motomoto. Staa wa Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ akiwa na mwandani wake, DJ Hunter. Kudhihirisha hilo, chanzo chetu kimevujisha picha za mrembo huyo akiwa na mchumba wake anayefahamika kwa jina moja la DJ Hunter...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Pasha — Mahaba Niue

Video mpya kutoka kwa Pasha wimbo unaitwa “Mahaba Niue” video imeongozwa na Allen Massala

 

10 years ago

Bongo Movies

Mahaba Niue, Adui Kuwa ‘Baby’!!

Ilianza kama utani lakini siku zilivyosonga ndivyo uhusiano wao ulivyowekwa wazi, hao ni watu wawili waliowahi kuwa maadui wakubwa miaka kadhaa nyuma.

Hapo nawazungumzia staa wa filamu Shamsa Ford na msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ ambao kwa sasa wamezama kwenye mahaba niue.

Awali, wahusika wote walitumia nguvu kubwa kukanusha juu ya uhusiano wao lakini inatajwa kuwa mahaba yao ndiyo gumzo kuliko ya wengine wote katika Bongo Muvi na yanashika nafasi ya pili katika...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Maua Sama – Mahaba Niue

Mua Sama

Mwanamuziki wa kike Maua Sama ameachia wimbo mpya unaitwa “Mahaba Niue”.Producer Ema The Boy

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani