Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIDEO MPYA: AMANI - KIZUNGU ZUNGU

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

NAY NA KIZUNGU ZUNGU CHA MAHABA NIUE

Sakata la Nay wa Mitego na Aliyekuwa Mpenzi wake Siwema limeingia ukurasa mpya baada ya Siwema Kumjibu Nay wa Mitego na Kusema mambo makubwa yakustusha.....Haya ni Maneno aliyosema Siwema baada ya Nay Kumwacha na kumyang'anya Mtoto kwa Shutuma za kumfumania na Mwanaume Kitandani:"Daah, siwezi endelea kukaa kimya aisee!! Ts hurt, iko hivi:@nay, naomba usisahau kama ni wewe uliniambia nitafute boyfrnd.. tena ulintukania hd mamang marehem, nilikushukuru tu.. nilikaa kimya kwa siku kadhaa but...

 

10 years ago

Mwananchi

Katiba Mpya isituvurugie amani

Kwa bahati mbaya Watanzania tuna utamaduni wa kusahau na kutofuatilia mambo kwa kina, labda ni kwa sababu ya historia ya nchi yetu inayotujengea misingi ya umoja, udugu na kuaminiana.

 

10 years ago

Raia Mwema

Tufanye yote, wimbo wetu uwe amani, amani, amani

Wiki hii Raia Mwema lilifanya mahojiano na mwanasheria mkuu wa serikali mstaafu, Jaji Mark Bomani

Mwandishi Wetu

 

10 years ago

BBCSwahili

Wenger:Paulista hajui kizungu

Kocha wa Arsenal Arsene Wenger amekiri kwamba kutojua kizungu kwa Gabriel Paulista kutaathiri timu hiyo katika safu ya nyuma

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tusiposikiliza ushauri, tutaandaa katiba mpya itakayovuruga amani

KUMEKUWEPO na hoja zinazotolewa na pande zote kuwa mchakato wa kuandika upya Katiba mpya usitishwe kwa muda ili kutafuta maridhiano na  kusahihisha baadhi ya kasoro za kisheria na kikanuni  zinazolalamikiwa...

 

10 years ago

GPL

AMANDA ANASWA NA KIJEBA CHA KIZUNGU

Stori: Gladness Mallya MSANII nyota wa filamu Tanzania, Tamrina Poshi maarufu kama Amanda, amenaswa katika picha akiwa na mzungu anayeonekana kumzidi umri ambaye unaweza kumwita kijeba aliyemtambulisha kama rafiki yake. Msanii nyota wa filamu Tanzania, Tamrina Poshi maarufu kama Amanda akiwa na mzungu. Habari kutoka chanzo cha kuaminika zinasema, picha hizo ziliibwa katika simu ya msanii huyo na mtu asiyefahamika, ambaye kwa...

 

10 years ago

GPL

HUSSEIN MACHOZI ANASWA NA MCHEPUKO WA KIZUNGU


Na Musa Mateja
Baada ya mwanamuziki Hussein Machozi kudaiwa kumtelekeza mkewe aliyemuoa nchini Kenya, hivi karibuni picha yake imenaswa akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu. Mwanamuziki Hussein Machozi akiwa kimahaba na mchepuko wa Kizungu. Picha hiyo inamuonesha Hussein akiwa kifua wazi huku mwanamke huyo akimchezea kifua sambamba na kumng’atang’ata shingoni na Ijumaa liliipata kupitia kwa rafiki wa msanii...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani