Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nchimbi aagiza watumishi wa Njombe kujituma

MKUU wa Mkoa wa Njombe, Dk Rehema Nchimbi, amewataka watumishi wa Serikali kujituma na kila mtumishi kutekeleza majukumu yake kwa maendeleo ya Mkoa wa Njombe na nchi kwa ujumla.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Dk. Rehema Nchimbi afungua kikao kazi cha biashara ya kilimo

1

Mkuu wa Mkoa wa Njombe Mh. Dk. Rehema Nchimbi akifungua kikao kazi cha biashara ya kilimo kwa kongani ya Ihemi iliyoandaliwa na SAGCOT (Southern Agricultural Growth Corridor of Tanzania) kwa ushirikiano na UONGOZI Institute (Taasisi ya Uongozi Afrika kwa Maendeleo Endelevu) mapema leo Iringa mjini. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Kilimo wa TCCIA Bi. Magadalena Mkocha, Mwenyikiti wa Bodi ya Agricultural Council of Tanzania Dk. Sinare Y. Sinare, DC wa Iringa Mh. Angeline Mabula,...

 

10 years ago

Michuzi

WATUMISHI WAPYA 222 WA OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI WAASWA KUFANYA KAZI KWA KUJITUMA NA UZALENDO

Kaimu Naibu Mwanasheria Mkuu Wa Serikali, Sarah Mwaipopo akisisitiza jambo wakati akifunga Mafunzo Elekezi ya awali kwa Watumishi wapya wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wapatao 222. Kaimu Naibu Mwanasheria Mkuu Wa Serikali, Sarah Mwaipopo akihutubia Watumishi wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (Hawapo Pichani) Wakati wa Kufunga Mafunzo ya awali kwa Watumishi wapya. Wengine pichani kuanzia kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Divisheni ya Mashtaka, Bi Mary Lyimo na Mkuruegenzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

DC NJOMBE AAGIZA KUKAMATWA WALIMU WAFANYAO VITENDO VYA KIKATILI

Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Njombe Mhe. Ruth Msafiri (kushoto) akisalimiana na Mwakilishi wa Katibu Mkuu Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Imelda Kamugisha(kulia)alipokuwa akipokea msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili.Mwakilishi wa Katibu Mkuu Idara Kuu Maendeleo ya Jamii Imelda Kamugisha akielezea lengo la msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili wakati msafar huo ulipowasili mkoani Njombe.
Mwakilishi wa Mkuu wa Mkoa wa Njombe ambaye ni Mkuu wa...

 

5 years ago

Michuzi

DC NJOMBE AAGIZA KUKAMATWA WALIMU WAFANYAYO VITENDO VYA KIKATILI

Mkuu wa Wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza kukamatwa kwa walimu mkoani Njombe watakaobainika kuwafanyia vitendo vya kikatiki wanafunzi ili kukomesha vitendo hivyo vinavyoendelea kutoka nchini.

Hayo yamebainika leo Makambako mkoani Njombe wakati msafara wa kijinsia kutokomeza ukatili ulipofika mkoani humo kwa ajili ya kutoa elimu ya kutokomeza ukatili dhidi ya wanawake na watoto.

Mhe. Ruth amesema kuwa Serikali haipingi adhabu ya viboko ila sio kutoa adhabu ya  viboko vya kupitiliza na...

 

5 years ago

Michuzi

DC Njombe aagiza sehemu za starehe kufungwa saa nne usiku kuepuka Corona


Na Amiri kilagalila,Njombe

Mkuu wa wilaya ya Njombe Ruth Msafiri ameagiza watoa huduma za baa na wamiliki wa maeneo ya starehe kufunga huduma hizo kwa kipindi hiki cha maambukizi ya virusi vya Corona (COVID-19) ili kuepusha maambukizi na kuenea kwa virusi hivyo.

Ruth Msafiri ametoa agizo hilo mapema siku ya leo wakati akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo vya habari vya ndani ya wilaya hiyo (radio za jamii) kwa lengo la kutoa tahadhari,kutoa elimu na hatua ilipofikia wilaya hiyo...

 

5 years ago

Michuzi

Watumishi wawili wafutwa kazi Njombe,watano wapewa onyo

Na Amiri kilagalila,NjombeBARAZA la madiwani la halmashauri ya wilaya ya Njombe Kwa Kauli Moja limeazimia kuwafuta kazi watumishi wawili kwa tuhuma za utoro kazini na kutoa barua ya onyo kwa wengine watano baada ya kamati ya maadili kufanya uchunguzi wa kina na kujiridhisha kuwakuta na tuhuma za uzembe zilizowafanya kukiuka taratibu za manunuzi.
Watumishi waliofutwa kazi ni Patrick Kigola mtendaji wa kijiji cha mfiliga pamoja na Asma Ally ambaye ni mtabibu ambao wanadaiwa kukutwa na makosa...

 

5 years ago

Michuzi

Naibu waziri Uujenzi aagiza kipande cha barabara Njombe-Moronga kikamilishwe ifikapo mwezi Octoba Mwaka huu.

Na Amiri kilagalila,Njombe Naibu waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi  Elias kwandikwa amemuagiza mkandarasi anayejenga barabara ya Njombe kuelekea wilayani Makete kipande cha Njombe-Moronga kuhakikisha anakamilisha ujenzi  wa kipande hicho na kuhakikisha imekamilika ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu. Agizo hilo amelitoa wakati akikagua ujenzi wa barabara hiyo katika ziara yake ya kikazi ya siku moja ambapo amesema anataka kuona ujenzi huo unakamilika ili wananchi waendelee...

 

5 years ago

CCM Blog

RC KAGERA AAGIZA KUSIMAMISHWA KAZI WATUMISHI WANNE NA WATENDAJI WENGINE 30 KUKAMATWA WILAYANI BIHARAMULO KWA UBADHILIFU WA SH. MILIO 307.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti akizungumza na watendaji na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo katika kikaokazi ikiwemo kutoa maelekezo ya kukamatwa kwa watendaji kwa tuhuma za tubadhilifu wa fedha sh. milioni 307 za umma.

Na Allawi Kaboyo, Biharamulo.
Mkuu wa Mkoa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti amewaagiza Kamanda wa Polisi na Kamanda wa TAKUKURU mkoani Kagera kuwakamata watumishi 34 katika Halmashauri ya wilaya Biharamulo wakiwemo watendaji wa vijiji...

 

9 years ago

Vijimambo

MAGUFULI ALIVYOPOKELEWA NDANI YA WILAYA YA NJOMBE MKOANI NJOMBE.

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwasalimia wakazi wa Ludewa mjini kabla ya kuanza kuwahutubia ,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo na kuhudhriwa na maelfu ya watu.Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM,Dkt John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Ludewa waliojitokeza kwa wingi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni uliofanyika mjini humo.

Mgombea Ubunge wa jimbo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani