Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndege ya Ethiopia yanasuliwa topeni

HATIMAYE ndege kubwa aina ya Boeing 767 mali ya Shirika la Ndege la Ethiopia, iliyotua kwa dharura juzi, Uwanja wa Ndege wa Arusha ikiwa na abiria 213, imenasuliwa kutoka kwenye tope na kuwekwa kwenye lami.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Ethiopia ''Yatekwa Nyara''

Ndege ya Ethiopia imelazimishwa kutua Geneva

 

11 years ago

BBCSwahili

Rubani aliteka ndege ya Ethiopia

Rubani msaidizi ndiye aliyeiteka nyara ndege ya Ethiopia

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege ya Ethiopia iliyokwama yapelekwa KIA

>Marubani wa Shirika la  Ethiopia ambayo ilishuka kwa dharura katika uwanja mdogo wa Ndege wa Arusha, jana wamefanikiwa kuiondoa ndege hiyo katika uwanja huo na kwenda Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

 

11 years ago

Habarileo

Ndege ya Ethiopia yazua tafrani Arusha

Ndege ya Shirika la Ethiopian Airline aina ya Boeing 767 ikiwa nje ya njia ya kukimbilia baada ya kutua kwa dharura katika uwanja wa Arusha jana. (Picha na Mtandao wa JamiiForums.com).NDEGE ya Shirika la Ndege la Ethiopia, imetua kwa dharura katika uwanja mdogo wa Arusha baada ya kushindwa kutua katika uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kutokana na ndege nyingine ya TFC kukwama kwenye njia ya kurukia.

 

9 years ago

BBCSwahili

Marekani yafunga kituo cha ndege Ethiopia

Marekani imefungia kituo cha ndege zisizo na rubani nchini Ethiopia ambacho imekuwa ikitumia kushambulia wanamgambo wa al-Shabab katika taifa jirani la Somalia.

 

11 years ago

Mwananchi

Utekaji wa ndege Ethiopia; hivi ndivyo ilivyokuwa

>Msaidizi wa rubani wa ndege ya Shirika la Ndege la Ethiopia, Halimedhin Abera, ndiye aliyebainika kuteka moja ya ndege za shirika hilo hivi karibuni.

 

5 years ago

Michuzi

Ethiopia: Ubovu wa ndege ya Boeing ya US ndiyo sababu ya ajali ya 2019

Rasimu ya ripoti ya muda ya wachunguzi wa Ethiopia imesema ajali mbaya ya ndege ya Boeing Max 737 iliyotokea tarehe 10 mwezi Machi mwaka jana 2019 na kuua watu 157 ilisababishwa na na matatizo ya kiufundi na ubovu wa ndege hiyo ya Kimarekani.

Eric Weiss, msemaji wa Bodi ya Taifa ya Usalama wa Usafiri wa Marekani (NTSB) amethibitisha kuwa taasisi kadhaa za usafiri na usafiri wa anga za Marekani zimepokea rasimu ya ripoti hiyo ya muda, kabla ya ripoti ya mwisho kutolewa.

Hata hivyo taasisi hizo...

 

5 years ago

BBCSwahili

Ajali ya ndege ya Ethiopia: Mwandishi wa BBC Emmanuel Igunza asimulia alichoshuhudia

Ripoti ya awali iliyotolewa na mamlaka nchini Ethiopia imelaumu waundaji wa ndege ya Boeing 737 Max

 

10 years ago

Michuzi

TANAPA, MAMLAKA YA NGORONGORO NA SHIRIKA LA NDEGE LA ETHIOPIA WADHAMINI WAKUU ‘SWAHILI INTERNATIOANL TOURISM EXPO’

 Na: Geofrey Tengeneza
Shirika la hifadhi la taifa (TANAPA) kwa kushirikiana na mamlaka ya hifadhi ya eneo la Ngorongoro pamoja na shirika la ndege la Ethiopia wamedhamini onesho la kimataifa ya utalii lijulikanalo kama ‘Swahili International Tourism Expo’ (S! TE).
Taasisi hizo tatu zinakuwa ndio wadhamini wakuu wa maonesho hayo ya kimataifa ya utalii ya kwanza Tanzania yanayoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania kwa kushirikiana na kampuni ya Pure Grit Project and Exhibition...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani