Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndege ya kijeshi yaua ''100'' Indonesia

Maafisa wa kijeshi Indonesia, wanasema takriban watu 100 wameuawa katika ajali mbaya ya ndege ya uchukuzi ya kijeshi huko Sumatra

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Ndege ya kijeshi ya Ukraine yadunguliwa

Waziri wa Ulinzi nchini Ukraine amesema kuwa mojawapo ya ndege zake za kijeshi za kubeba mizigo imedunguliwa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya kijeshi yaanguka Nigeria

Helikopta ya kijeshi ya Nigeria imeanguka katika eneo la kaskazini mashariki mwa nchi hiyo

 

9 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Indonesia yatoweka na abiria 54

Mamlaka nchini Indonessia inasema kuwa ndege moja ya abiria iliowabeba watu 54 wakiwemo watoto watano imepoteza mawasiliano na idara ya kituo cha udhibiti safari za ndege.

 

11 years ago

BBCSwahili

Viwanja vya ndege vyafunguliwa indonesia

Viwanja kadhaa vya ndege vyafunguliwa katika kisiwa cha Indonesia baada ya kufungwa na wingu kubwa la jivu la volkano.

 

10 years ago

BBCSwahili

Indonesia yafunga viwanja 5 vya ndege

Indonesia imefunga viwanja vitano vya ndege kikiwemo kile cha Bali kufuatia kulipuka kwa volcano katika mlima wa Raung, mashariki mwa mji wa Java.

 

10 years ago

GPL

37 WAUAWA KWA AJALI YA NDEGE INDONESIA

Umati wa watu wakishuhudia ajali hiyo ilivyotokea. Kikosi cha Usalama wakiondoa taili la ndege hiyo eneo la tukio. Kikosi cha uokoaji wakitathimini namna ambavyo ajali hiyo ilivyotokea na kuharibu majengo. Shughuli…

 

11 years ago

Michuzi

news alert: ndege ya shirika la virgin yatekwa nyara indonesia asubuhi hii

Ndege ya shirika la Virgin iliyokuwa inaruka toka Australia inasemekana imetekwa nyara katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bali nchini Indonesia muda mchache uliopita, wamesema maafisa wa usalama wa nchi hiyo. Tunafuatilia na habari zaidi tutaleta kadri zitavyopatikana.

 

9 years ago

BBCSwahili

Gesi yaua 100 Nigeria

Zaidi ya watu 100 wamekufa katika mlipuko kwenye kiwanda cha gesi huko Kusini Mashariki mwa mji wa Nnewi huko jimbo la Anamra.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani