Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gesi yaua 100 Nigeria

Zaidi ya watu 100 wamekufa katika mlipuko kwenye kiwanda cha gesi huko Kusini Mashariki mwa mji wa Nnewi huko jimbo la Anamra.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

AJALI YAUA 100 ALGERIA

Ndege hii ni sawa na ile iliyopata ajali na kuua watu 100. WATU 100 wamepoteza maisha katika ajali ya ndege iliyotokea eneo la milima ya jimbo la Oum El Bouaghi nchini Algeria. Ndege hiyo ya jeshi imeanguka ikiwa imebeba watu zaidi ya 100 wakiwemo wafanyakazi wa ndege hiyo. Ndege hiyo ya wanajeshi inaripotiwa kuanguka katika eneo lililo na milima mingi mashariki mwa mji mkuu wa Algiers. Inasemekana ndege hiyo ilikuwa ikibeba...

 

9 years ago

BBCSwahili

Gesi kutoka Israeli yaua mtoto mpalestina

Wizara ya afya ya Palestina imethibitisha kuwa mtoto wa miezi 8 amefariki baada ya kupumua gesi kali iliyotupwa na majeshi ya Israeli huko Bethlehem.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya kijeshi yaua ''100'' Indonesia

Maafisa wa kijeshi Indonesia, wanasema takriban watu 100 wameuawa katika ajali mbaya ya ndege ya uchukuzi ya kijeshi huko Sumatra

 

9 years ago

BBCSwahili

Cameroon 'yaua' wapiganaji 100 wa Boko Haram

Wizara ya ulinzi nchini Cameroon imesema majeshi ya serikali yameua takriban wafuasi 100 wa kundi la wanamgambo wa kiislamu la Nigeria Boko Haram.

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif aahidi mafuta, gesi ndani ya siku 100 Zanzibar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

 

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AAHIDI MAFUTA, GESI NDANI YA SIKU 100 ZANZIBAR

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF,Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

Maalim Seif alisema hayo juzi kwenye viwanja vya Tibirinzi mkoani Kusini Pemba alipokuwa akizungumza na wananchi na wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa.

Aliwaomba wananchi wa Unguja na Pemba wampe ridhaa ya kuongoza visiwa vya Zanzibar ili aweze kuwaletea maendeleo...

 

10 years ago

GPL

MILIPUKO SOKONI YAUA 49 GOMBE, NIGERIA

(Picha na Maktaba) WATU 49 wameuawa katika milipuko miwili iliyotokea kwenye soko lililopo mjini Gombe, Nigeria wakati watu wakifanya manunuzi kwa ajili ya Sikukuu ya Eid jana jioni. Soko hilo lilikuwa limefurika watu waliokuwa wakijiandaa kwa ajili ya Sikukuu ya Eid na watu wengi waliopoteza maisha ni watoto na wanawake.

 

10 years ago

GPL

MILIPUKO YAUA WATU 30 KATIKATI YA NIGERIA

Watu wasiopungua 30 wameuawa katika milipuko miwili ya mabomu iliyotokea karibu na kituo cha basi katika mji wa Jos, ulioko katikati mwa Nigeria.  Walioshuhudia wanasema, bomu la kwanza lilitegwa kwenye kibanda cha kuuzia chakula na la pili karibu na mlango wa kuingilia katika soko la Termus kwenye mji huo. Duru za usalama za Nigeria bado hazijasema milipuko hiyo ya mabomu imesababishwa na kundi gani, lakini kundi la Boko...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani