Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndege ya Urusi yenye abiria 200 yaanguka Sinai

Ndege ya shirika moja la ndege la Urusi, iliyowabeba abiria zaidi ya 200, imeanguka katika eneo la Sinai nchini Misri, waziri mkuu wa Misri amethibitisha.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

GPL

NDEGE YA URUSI YENYE ABIRIA 200 YAANGUKA SINAI, MISRI

Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la Sinai nchini Misri. Waziri Mkuu wa Misri, Sharif Ismail akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani). Ramani ikionyesha eneo la Sinai nchini Misri ilipotokea ajali hiyo.…

 

11 years ago

Mwananchi

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria yapotea katika rada, yaanguka na abiria 116

Ndege ya Shirika la Ndege la Algeria (Air Algerie) iliyopoteza mawasiliano ya Rada katika anga la Mali mapema leo ikiwa na abiria 116 na watumishi sita imeanguka, Shirika la Habari la Reuters linaripoti.

 

9 years ago

GPL

MABAKI YA NDEGE YA URUSI BAADA YA KUANGUKA SINAI, MISRI

Wachunguzi wakiwa eneo la tukio wakiangalia mabaki ya Ndege ya Shirika la Kogalymavia la Urusi, Airbus A-321 iliyoanguka eneo la Sinai nchini Misri ilikuwa na abiria 200, watoto 17 na wafanyakazi wa ndege hiyo 7.…

 

11 years ago

BBCSwahili

Ndege yaanguka na kuwaua abiria 40 Iran

Ndege moja iliokuwa na abiria 40 imeanguka mjini Tehran nchini Iran.

 

5 years ago

Michuzi

NDEGE ZA ABIRIA 200 KUTUA KIWANJA CHA DODOMA


Kazi ya upanuzi wa kiwanja cha ndege cha Dodoma ikiendelea. Mradi huo umefikia asilimia 30 na unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwezi Agosti mwaka huu.
Mafundi wa Kampuni ya CHICO wakiendelea na kazi ya upimaji katika Kiwanja cha Ndege cha Dodoma. Mradi huo utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 3.5.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akitoa maelekezo kwa Meneja wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu, Meneja wa...

 

5 years ago

CCM Blog

NDEGE ZA ABIRIA ZAIDI YA 200 KUTUA KIWANJA CHA DODOMA

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Kamwelwe, akitoa maelekezo kwa Meneja wa Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS) Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu, Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Dodoma, Bertha Bankwa (kulia), wakati Waziri huyo alipokagua maendeleo ya upanuzi wa kiwanja hicho mkoani Dodoma.

Dodoma, Tanzania
Kukamilika kwa upanuzi wa mita 250 katika kiwanja cha ndege cha Dodoma kutaruhusu ndege kubwa zenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 200 aina ya Airbus kuruka...

 

11 years ago

Michuzi

Ndege ya CRJ-200 yaboresha utendaji wa ATCL, yarejesha imani kwa abiria

Ndege ya Shirika la ndege la Air Tanzania aina ya CRJ-200, yenye uwezo wa kubeba abiria 50, ikiwa imetua katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Songwe mkoani Mbeya hivi karibuni  =====  =======  === SHIRIKA la Ndege la Air Tanzania limeweka rekodi ya ongezeko la abiria kwa asilimia 57 wiki chake baada ya kupokea  ndege ya kukodi yenye uwezo wa kubeba abiria 50 aina ya CRJ-200 pamoja kuiongezea uwezo wa kuruka kwa wakati kwa asilimia 98.
Aidha, shirika hilo limeweza kutoa nauli maalum kwa...

 

11 years ago

GPL

SIKU YA KUMI NA MOJA BAADA YA NDEGE KUPOTEA: NDUGU WA ABIRIA WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA WAISHUTUMU SERIKALI

Wanawake wawili (mmoja hayupo pichani) wakiondolewa kwa nguvu kwenye mkutano wa waandishi wa habari ambao ulipangwa kufanyika leo mjini Kuala Lumpur.  Wanawake hao ni baadhi ya ndugu ‘waliopotea’ katika ndege aina ya Boeing 777 namba MH370 iliyopotea zaidi ya siku 10 zilizopita ambao wameilaumu serikali ya Malaysia kwa kutowaambia ukweli na kuwazungusha kuhusu juhudi za kweli kuhusiana na ndugu zao.… ...

 

10 years ago

Habarileo

Ndege yaanguka Serengeti

UCHUNGUZI wa awali kuhusu kupotea kwa ndege ya mizigo ya Shirika la Safari Express ya nchini Kenya, umeonesha kuwa ndege hiyo yenye usajili namba 5Y SXP, aina ya Fokker 27, imepata ajali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani