Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndoa ya Dokta Cheni yatikisika!

CHENIGwiji katika tasnia ya uigizaji Bongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dokta Cheni’.

MADAI! Ndoa ya gwiji katika tasnia ya uigizaji na ushereheshaji (MC)Bongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dokta Cheni’ inadaiwa kushikiliwa na ‘uzi wa buibui’ kufuatia mwigizaji huyo kukolea kwa mchepuko anayedaiwa kumpangishia chumba katika hoteli moja maarufu jijini Dar, Amani linaripoti.

Kama ilivyo kwa Rais, Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Jumatatu iliyopita, paparazi wetu alifanya ‘ziara’ ya kushtukiza...

Global Publishers

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Bei kushuka:Nigeria yatikisika

Waziri wa uchumi wa Nigeria, Ngozi Okonjo Iweala amewasilisha bajeti ili kuchukua hatua kwa kushuka bei ya mafuta kimataifa.

 

10 years ago

GPL

USHINDI MTOTO WA MBUNGE, MISS TANZANIA YATIKISIKA

Stori:  Erick Evarist na Musa Mateja
OHOOOOH! Siku chache baada ya mtoto wa Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, Sitti kujinyakulia U-Miss Tanzania 2014, tayari joto la ushindi huo limetikisa taji hilo na kuibua maswali ‘chungu mbovu’ kuhoji uhalali wa ushindi huo, Risasi Mchanganyiko linashuka na mchongo kamili. Miss Tanzania Sitti Mtemvu akiwa mwenye nyuso ya furaha baada ya kushinda taji hilo. Kwa mujibu wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Madereva wa mabasi wagoma kwa saa tisa, nchi yatikisika


Baadhi ya madereva na wapigadebe wakiwashusha abiria kwenye gari aina ya Town Hiace iliyokuwa imebeba abiri eneo la Ubungo, wakati madereva wa daladala walipokuwa kwenye mgomo, Dar es Salaam. Picha na Said Khamis
Dar es Salaam. Hali ya taharuki, hekaheka na tafrani ilitanda kwenye Kituo cha Mabasi cha Ubungo (UBT) na sehemu nyingine jijini Dar es Salaam na mikoani wakati madereva wa mabasi walipofanya mgomo wa takriban saa tisa kuishinikiza Serikali kufuta matumizi ya kanuni mpya za udhibiti...

 

5 years ago

Michuzi

CHADEMA YATIKISIKA KILOMBERO,VIONGOZI WAKE WAJIVUA UANACHAMA NA KUHAMIA CCM

VIONGOZI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema wilaya ya Kilombero wamejivua uanachama wa Chadema hicho  na kujiunga na Chama cha Mapinduzi CCM.

Waliojivua uanachama wa Chadema ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara CHADEMA, Mashaka Mbilinyi, Diwani kata ya Mbasa ,Chiza  Shungu, Mwenyekiti wa kamati huduma za Jamii Ifakara, Digna Nyangile, Diwani Viti Maaalum Ifakara, Antony Mwampunga Kamanda wa Red Briged wilaya Kilombero, Clarens  Manyota na Baraka Masala.

Wanachama hao wapya...

 

10 years ago

Mwananchi

Hekaheka: Madereva wa mabasi wagoma kwa saa tisa, nchi yatikisika

Hali ya taharuki, hekaheka na tafrani ilitanda kwenye Kituo cha Mabasi cha Ubungo (UBT) na sehemu nyingine jijini Dar es Salaam na mikoani wakati madereva wa mabasi walipofanya mgomo wa takriban saa tisa kuishinikiza Serikali kufuta matumizi ya kanuni mpya za udhibiti wa safari na usalama.

 

10 years ago

GPL

DOKTA: JK MUOKOE RAY C

STORI: MAYASA MARIWATA NA SHANI RAMADHANI
DOKTA mmoja wa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar (jina lipo) ameibuka na kumtaka  Rais Jakaya Kikwete ‘JK’ aliyewahi kubeba jukumu la kuitengeneza afya ya Mbongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ asimamie tena jukumu hilo ili kuokoa maisha ya msanii huyo. Dokta huyo aliyasema hayo juzi katika mahojiano na Amani kufuatia madai kwamba, Ray C hana mahudhurio...

 

11 years ago

GPL

DOKTA MAMBO ANASWA...

Stori: Waandishi Wetu
MWAKA umeanza, mambo mapya pia yapo! Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers imeingia kazini kwa kasi zaidi. Safari hii imemnasa daktari anayejulikana kwa jina moja la Mambo maarufu sana kwa jina la Dokta Mambo katika jaribio linalodaiwa kuwa ni la utoaji mimba. Tukio hilo lilitokea katika zahanati yake (jina lipo) iliyopo Kawe jijini Dar es Salaam ambapo daktari huyo anayejulikana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani