USHINDI MTOTO WA MBUNGE, MISS TANZANIA YATIKISIKA
![](http://api.ning.com:80/files/ZlBJL*XyKT0HJ017G58s7A8gviKeFO13c2z1ebknymbUzBX6AVyiVOHI22VNXhj7x5mYPIFH5vv8K8DweradwO3YHFIynFiS/miss.jpg)
Stori: Erick Evarist na Musa Mateja OHOOOOH! Siku chache baada ya mtoto wa Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu, Sitti kujinyakulia U-Miss Tanzania 2014, tayari joto la ushindi huo limetikisa taji hilo na kuibua maswali ‘chungu mbovu’ kuhoji uhalali wa ushindi huo, Risasi Mchanganyiko linashuka na mchongo kamili. Miss Tanzania Sitti Mtemvu akiwa mwenye nyuso ya furaha baada ya kushinda taji hilo. Kwa mujibu wa...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Dec
Miss Colombia atoa ya moyoni kuhusu kuporwa ushindi wa Miss Universe
![miss universe](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/miss-universe-300x194.jpg)
Baada ya shindano la Miss Universe lililofanyika Jumapili iliyopita (Dec 20) kukumbwa na dosari ya MC kukosea kumtaja mshindi, Miss Colombia ambaye alitangazwa mshindi na dakika chache baadaye kupigwa na butwaa baada ya MC Steve Harvey kurudi na kutangaza kuwa alipewa ushindi kimakosa, hatimaye mrembo huyo ametoa ya moyoni na kumpongeza mshindi wa mwaka huu Miss Ufilipino.
Kupitia Instagram yake Miss Colombia , Ariadna Gutierrez aliandika ujumbe mrefu wa kugusa kuhusu kilichotokea,...
9 years ago
VijimamboMISS TANZANIA USA: MAJAJI WAMPOKONYA USHINDI DOREEN PANGA NA KUMVIKA TAJI AEESHA KAMARA NJE YA UKUMBI
Doreen Panga kutoka New York usiku wa Aug 22, 2015, alivuliwa taji la Miss Tanzania USA na majaji wa shindano hilo nje ya ukumbi taji alilolivaa kwa dakika 45 na kumvika...
10 years ago
VijimamboWAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAOTI MTOTO WAO
10 years ago
Bongo512 Nov
Wazazi wa Miss Tanzania mpya Lilian Kamazima watetea urai wa mtoto wao
10 years ago
MichuziWAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAPOTI MTOTO WAO
10 years ago
Dewji Blog12 Dec
Wazazi wa Miss Tanzania 2013 waelekea London kumpa sapoti mtoto wao
Na MATUKIO TZ BLOG
Wazazi wa Miss Tanzania 2013 Happiness Watimanywa akiongozwa na Baba yake wa Tatu Kutoka kushoto Pamoja na Mama yake wa Tatu Kutoka Kulia WakiwaWameambatana na Wadogo wa Miss Tanzania 2O13 Pamoja na Marafiki Wengine Wakiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere Katika Hatua za Mwisho Kabla ya Kusafiri Mchana wa leo Kuelekea Jijini London Kwenye Kilele cha Mashindano ya Miss World 2O14 yakakayohitimishwa Tarehe 14.12.2O14 ambapo Mtoto wao Miss Tanzania 2013 ...
10 years ago
GPLWAZAZI WA MISS TANZANIA 2O13 WAELEKEA LONDON KUMPA SAOTI MTOTO WAO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TwbgnXl4eNXAyLj5-z-VtqFFbXJD-YA2jnIty7XjYVlTIhze0ijlwxy6FPxDSo1Ri7WiM3YkjNCG6Qlj*5Fvy3QKBqm1Zjde/miss.jpg?width=650)
MISS TZ NA.3 AFUNGUKIA USHINDI WA SITTI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s72-c/missTanzania.png)
MSHINDI WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUSHIRIKI REDD'S MISS TANZANIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM