DOKTA: JK MUOKOE RAY C

STORI: MAYASA MARIWATA NA SHANI RAMADHANI DOKTA mmoja wa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar (jina lipo) ameibuka na kumtaka Rais Jakaya Kikwete ‘JK’ aliyewahi kubeba jukumu la kuitengeneza afya ya Mbongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ asimamie tena jukumu hilo ili kuokoa maisha ya msanii huyo. Dokta huyo aliyasema hayo juzi katika mahojiano na Amani kufuatia madai kwamba, Ray C hana mahudhurio...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies15 Feb
Ray Feki Awatapeli Watu Facebook, Ray Waukweli Atoa Angalizo!
“Wadau na wasanii wote mnaotaka kuigiza msidanganyike na account hii ya Facebook SIYO YANGU NI FAKE.
Maana napata tabu sana Ofisini kwangu watu wanakuja kudai Hela wakisema kuwa Eti Mimi nimetangaza usahili kupitia kwenye account hiyo hapo juu fake Kuwa nahitaji wasanii ni uongo mtupu mnaibiwa pesa zenu na namba anayotumia kuwaibia Watu Hela ni hiii hapa 0779 946440.
Msidanganywe ni matapeli hao Mimi Sijatangaza Chochote kwenye Facebook. Im done hope That You Have All understood...
11 years ago
GPL
CHUCHU AJICHORA TATUU YA RAY, RAY AJIBU
10 years ago
GPL
DOKTA: SHILOLE MGONJWA!
11 years ago
GPL
DOKTA MAMBO ANASWA...
10 years ago
GPL
DOKTA FADHILI KUTUA BONGO
10 years ago
Michuzi
MAPOKEZI YA DOKTA SLAA KATAVI
11 years ago
GPL
SIMU DOKTA YAGOMBEWA ARUSHA
10 years ago
GPL
GWAJIMA AMJIBU DOKTA SLAA
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Ndoa ya Dokta Cheni yatikisika!
Gwiji katika tasnia ya uigizaji Bongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dokta Cheni’.
MADAI! Ndoa ya gwiji katika tasnia ya uigizaji na ushereheshaji (MC)Bongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dokta Cheni’ inadaiwa kushikiliwa na ‘uzi wa buibui’ kufuatia mwigizaji huyo kukolea kwa mchepuko anayedaiwa kumpangishia chumba katika hoteli moja maarufu jijini Dar, Amani linaripoti.
Kama ilivyo kwa Rais, Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Jumatatu iliyopita, paparazi wetu alifanya ‘ziara’ ya kushtukiza...