DOKTA: SHILOLE MGONJWA!
![](http://api.ning.com:80/files/O3p1FaWf5Ac1Hvvp0p2wu4ppXTNzWJQ1kxhg*z0cRkF3LhSYlcprFIlgvajW9tma7q8P-GMfwv86A6kDprWAl2U8-soqeG-T/a.jpg?width=650)
Shani Ramadhani na Chande Abdallah DAKTARI mmoja bingwa wa saikolojia, Erick Mutchumbh, amesema tabia zinazofanywa na nyota wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ zinaashiria kuwa ni mgonjwa aliyeathirika kisaikolojia na matatizo ya unyanyaswaji wakati wa utoto wake. Nyota wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Mutchumbh alitoa maelezo hayo baada ya kuombwa kuzungumzia tabia za Shilole za kugombana...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies18 Mar
Daktari wa Saikologia: Shilole Mgonjwa!
Daktari bingwa wa saikolojia, Erick Mutchumbh, amesema tabia zinazofanywa na nyota wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ zinaashiria kuwa ni mgonjwa aliyeathirika kisaikolojia na matatizo ya unyanyaswaji wakati wa utoto wake.
Mutchumbh alitoa maelezo hayo baada ya kuombwa kuzungumzia tabia za Shilole za kugombana mara kwa mara na mpenzi wake, Nuh Mziwanda, kama zinaweza kuwa ni tatizo la kisaikolojia linalomsumbua mmoja wao au ni ugomvi wa kawaida wa kimapenzi.
“Mtu yeyote aliyepitia...
10 years ago
Bongo Movies04 Jul
Mwanaume aliyezaa na Shilole Atoboa Haya Kuhusu Yeye na Shilole
Yule mwanaume aliyezaa na Staa wa Bongo Movies na Fleva,Shilole,aitwaye Elias Makala ameibuka na kuzungumza na U heard na Soudy Brown kuwa hakuwahi kumbaka msaniii huyo kama ambayo anazungumza kwenye vyombo vya habari.
‘’Mimi namshangaa sana Shilole anavyosema kuwa nilimbaka,sijawahi kumbaka nilikuwa naishi naye kama mume na mke kwa zaidi ya miaka saba, na nilimuuliza kwanini anasema uongo kuwa nilimbaka alinijibu kuwa habari hiyo inamsaidia kumpaisha (kick) kwenye muziki wake,’’alisema...
10 years ago
Bongo Movies11 May
Kauli ya Shilole na Mchumba Wake Juu ya Picha Chafu za Shilole Akiwa Stejini
Haya ndiyo maelezo ya wawili hao kuhusiana na picha za mwanadada shilole zikimuonyesha wazi sehemu ya kifua chake wakati akiwa stejini anatumbuiza huko nchini Ubelgiji.
Show ni movement na uwezi mkataza mtu kupiga picha ukiwa kwa stage'na kuna nguo za show na nguo za kutoka out kikawaida'ukiruka ruka sana sidiria ni rahisi kuchomoka akina dada mnafaham na mtu yupo stejini anakua hajitambui kama nini kimetokea coz yupo stejin kwenye mood ya kazi na kila mtu ni binadamu na ndio mana wengine...
10 years ago
Bongo515 Dec
Shilole: Sio kwamba nimeacha kuigiza ila nafatutia timing, asema filamu ijayo itakuwa ni true story (Shilole In Dar)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX7GjF55epLmUMge1LbNM9bS6LadzOKKF7sdnwubR-w33O0zHSMOwoRoDr1tVSJg6ig9faP2F0nS5qTWzdO-ljIK/BACKAMANI.jpg)
DOKTA: JK MUOKOE RAY C
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD-9uRz9fqeCKARsxAwQeA5yYcSPJpTQA5Ngz1Z84g**TynHbzfzBWkl7Qtj7FMJrIeuI9tHvWE9pLFGG3JOMkq6O/ofm.jpg?width=650)
DOKTA MAMBO ANASWA...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/QsYVKE-pbjYpfpoCNaG*O1l9z3tn1mntS1Txv-tnxN2KmPYlBWTN6hcSDw71SNpEnZ1wQE0qPKoambBmlmlfpoUuDDFL*Yl8/BACKJUMATANO.jpg?width=650)
DOKTA AONYA MIMBA YA AUNT!
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Ndoa ya Dokta Cheni yatikisika!
Gwiji katika tasnia ya uigizaji Bongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dokta Cheni’.
MADAI! Ndoa ya gwiji katika tasnia ya uigizaji na ushereheshaji (MC)Bongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dokta Cheni’ inadaiwa kushikiliwa na ‘uzi wa buibui’ kufuatia mwigizaji huyo kukolea kwa mchepuko anayedaiwa kumpangishia chumba katika hoteli moja maarufu jijini Dar, Amani linaripoti.
Kama ilivyo kwa Rais, Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Jumatatu iliyopita, paparazi wetu alifanya ‘ziara’ ya kushtukiza...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N5qadQXNFH5EtUdvf7emOCd20-ZYyIIc-dLbsf1olTFTnYuU9GYQyF69l6JuZnIorMJYnsCbH4nqxBpGvv6cAwT/banza.jpg?width=650)
DOKTA: BANZA PUMZIKA, UTAKUFA!