DOKTA: BANZA PUMZIKA, UTAKUFA!
![](http://api.ning.com:80/files/I0fvYV0V5N5qadQXNFH5EtUdvf7emOCd20-ZYyIIc-dLbsf1olTFTnYuU9GYQyF69l6JuZnIorMJYnsCbH4nqxBpGvv6cAwT/banza.jpg?width=650)
Stori: Musa Mateja MSANII nguli wa muziki wa dansi, Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ ameshauriwa kupumzika kazi za nguvu ikiwemo uimbaji kutokana na matatizo ya kiafya yanayomkabili. Akizungumza na Ijumaa, daktari mmoja wa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar aliyeomba jina lake lisitajwe gazetini, aliyemshuhudia Banza siku za hivi karibuni akiimba jukwaani, alisema kwa hali aliyonayo msanii huyo hatakiwi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/BkOjhKl2Ths/default.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima18 Apr
Pumzika Kamanda ‘Mjomba’ Gurumo
ILIKUWA siku ya Jumapili alasiri Aprili 13, mwaka huu ndipo mapenzi ya Mungu yalitimia kwa kuitwaa roho ya gwiji wa muziki nchini, Maalim Muhidin Gurumo. Naam, nikiwa nimepumzika nyumbani nikasikia...
10 years ago
Mwananchi20 Dec
Pumzika kwa amani mnenguaji Aisha Madinda
9 years ago
MichuziPUMZIKA WA AMANI MAREHEMU ANNETH CHRISTIAN KAJURA
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Pumzika kwa amani mwanamichezo Mzee wetu Nelson Mandela Madiba
MWILI wa Mzee Nelson Mandela Madiba, ulizikwa jana kijijini kwake Qunu, Eastern Cape, baada ya kufariki Desemba 5, 2013 akiwa na miaka 95. Mandela ambaye kabla ya kupewa jina hilo...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-YbJ8-Xw-yYI/XnfNulbaxoI/AAAAAAALkwI/Ex3odRZd76MjNfQN96-Hg5gGnXJP6vZtACLcBGAsYHQ/s72-c/84191976_10157688399949473_5207830129107009536_n.jpg)
TANZIA: PUMZIKA KWA AMANI YA BWANA DADA YETU MPENDWA MONICA NYAKITERI ( NTARE).
![](https://1.bp.blogspot.com/-YbJ8-Xw-yYI/XnfNulbaxoI/AAAAAAALkwI/Ex3odRZd76MjNfQN96-Hg5gGnXJP6vZtACLcBGAsYHQ/s640/84191976_10157688399949473_5207830129107009536_n.jpg)
Habarini wapendwa na poleni na mlipuko wa tauni.Wengi wetu tunamfahamu ndugu yetu, rafiki na dada yetu Monika Kerenge (Monica Nyakiteri) au Monica Ntare) na kwa masikitiko makubwa tunawataarifu kuwa ametutoka. Ameaga dunia akiwa nyumbani Tanzania.Hapa UINGEREZA msiba uko nyumbani kwake Sydnham 24B Tree down Road London SE26 5QH.
Kutokana na mlipuko wa tauni sasa hivi mikusanyiko hairuhusiwi ila mnakaribishwa kuja kwa uangalifu sana., Kwa niaba ya familia ningependa...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-ZNpqg_PZaR8/XsuIEVR0uOI/AAAAAAACLmk/ef5o1ClnYTMd_ryqy51q9pvw6QjI6KWWgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200525_115223.jpg)
PUMZIKA KWA AMANI BABU NJENJE, TUTAENDELEA KUKUKUMBUKA KWA SAUTI YAKO MARIDHAWA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZNpqg_PZaR8/XsuIEVR0uOI/AAAAAAACLmk/ef5o1ClnYTMd_ryqy51q9pvw6QjI6KWWgCLcBGAsYHQ/s320/IMG_20200525_115223.jpg)
Babu Njenje amefariki leo alfajiri baada ya kuugua kwa muda mrefu. Alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kupooza mwili.
Hadi mauti yalipomchukua, Babu Njenje alikuwa mwimbaji wa bendi ya The Kilimanjaro.
Kwa mujibu wa John Kitime, ambaye ni mmoja wa wanamuziki wa kundi hilo, msiba upo mtaa wa Mindu, Upanga, ambako Babu Njenje alikuwa akiishi.
Babu Njenje...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R9XIwqbdD-9uRz9fqeCKARsxAwQeA5yYcSPJpTQA5Ngz1Z84g**TynHbzfzBWkl7Qtj7FMJrIeuI9tHvWE9pLFGG3JOMkq6O/ofm.jpg?width=650)
DOKTA MAMBO ANASWA...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/jbaar29oQX7GjF55epLmUMge1LbNM9bS6LadzOKKF7sdnwubR-w33O0zHSMOwoRoDr1tVSJg6ig9faP2F0nS5qTWzdO-ljIK/BACKAMANI.jpg)
DOKTA: JK MUOKOE RAY C