Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pumzika Kamanda ‘Mjomba’ Gurumo

ILIKUWA siku ya Jumapili alasiri Aprili 13, mwaka huu ndipo mapenzi ya Mungu yalitimia kwa kuitwaa roho ya gwiji wa muziki nchini, Maalim Muhidin Gurumo. Naam, nikiwa nimepumzika nyumbani nikasikia...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HONGERA KAMANDA MZINGA KWA KUTEULIWA KUWA KAMANDA WA POLISI MKOA WA LINDI

Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi(LPC) Inatoa Pongezi kwa ACP Renatha Mzinga(pichani) aliekuwa Ofisa Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Lindi kwa kuteuliwa na MKUU wa Jeshi la Polisi, IGP Ernest Mangu kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa LINDI. Taarifa iliyotolewa leo na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Lindi,Abdulaziz Ahmeid ameeleza kuwa kuwa Klabu hiyo Imepokea mabadiliko hayo na kuhaidi Ushirikiano mkubwa baina ya klabu na Jeshi hilo.  "Kwa niaba ya wanahabari...

 

11 years ago

GPL

DOKTA: BANZA PUMZIKA, UTAKUFA!

Stori: Musa Mateja
MSANII nguli wa muziki wa dansi, Ramadhani Masanja ‘Banza Stone’ ameshauriwa kupumzika kazi za nguvu ikiwemo uimbaji kutokana na matatizo ya kiafya yanayomkabili. Akizungumza na Ijumaa, daktari mmoja wa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar aliyeomba jina lake lisitajwe gazetini, aliyemshuhudia Banza siku za hivi karibuni akiimba jukwaani, alisema kwa hali aliyonayo msanii huyo hatakiwi...

 

10 years ago

Mwananchi

Pumzika kwa amani mnenguaji Aisha Madinda

Jumatano hii iliyopita, mmoja kati ya wanenguaji waliokuwa nguzo ya Bendi ya The African Stars Band, hasa katika safu ya unenguaji, Aisha Mohamed Mbegu `Madinda’ alifariki dunia.

 

9 years ago

Michuzi

PUMZIKA WA AMANI MAREHEMU ANNETH CHRISTIAN KAJURA

Mume wa marehemu akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mke wake Anneth Christian mwishoni mwa wiki iliyopita nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach - SalaSala Jijini Dar es Salaam na baadae maziko yalifanyika Makaburi ya Kondo - Bahari Beach. Mmoja ya wanandugu akitoa heshima ya mwisho. Mume wa marehemu Anneth Christian akiweka mchanga katika kaburi la mke wake katika Makaburi ya Kondo - Bahari Beach. Mama wa marehemu akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa mwanae Anneth Christian mwishoni mwa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mjomba wa kiongozi wa Korea anyongwa

Mjomba wa kiongozi wa Korea Kaskazini amenyongwa kwa makosa ya matumizi mabaya ya madaraka na kupinga mapinduzi

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjomba Mpoto awaita videoni

MSANII mahiri wa utunzi wa mashairi, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ anatarajiwa kuuweka katika video wimbo wake unaokwenda kwa jina la ‘Waite’ aliouachia hivi karibuni. Wimbo huo aliyoutengeneza katika studio yake ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjomba Mpoto awaita mashabiki wake

MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Mrisho Mpoto ‘Mjomba’ amemaliza mwaka kwa kuwashushia mashabiki wake kibao kipya kinachokwenda kwa jina la ‘Waite’. Mjomba anatamba na nyimbo mbalimbali ikiwemo ‘Chocheeni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mjomba Mpoto kupamba miaka 20 ya Prolife

MSANII maarufu wa Kughani mashairi, Mrisho Mpoto ‘Mjomba Mpoto’, anatarajiwa kutumbuiza katika kilele cha maadhimisho ya miaka 20 ya Shirika la Kutetea Uhai wa Binadamu (Prolife). Kilele cha maadhimisho hayo,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pumzika kwa amani mwanamichezo Mzee wetu Nelson Mandela Madiba

MWILI wa Mzee Nelson Mandela Madiba, ulizikwa jana kijijini kwake Qunu, Eastern Cape, baada ya kufariki Desemba 5, 2013 akiwa na miaka 95. Mandela ambaye kabla ya kupewa jina hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani