SIMU DOKTA YAGOMBEWA ARUSHA
Mratibu wa simu Dokta jijini Arusha, Patrick Chokala. Patrick Chokala (kulia) akiendelea kuelimisha wananchi jinsi ya kujiunga na simu Dokta.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziHuduma ya Simu Dokta yanufaisha maelfu ya watanzania
Idadi ya wanaojiunga nayo yazidi kuongezeka
Kulwa Saiduni wa Bombo,mkoani Tanga ni miongoni mwa maelfu ya watanzania wanaoweza kupata taarifa zinazohusu afya katika hali ya utulivu wakiwa majumbani mwao.Hii inatokana na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kuanzisha huduma ya Simu Dokta ambayo inawawezesha wateja wake waliojiunga na huduma hii kupata taarifa za afya kupitia simu zao za mkononi.
Hii huduma ni ya aina yake kuanzishwa nchini Tanzania ikiwa inatolewa na Vodacom.Inashirikisha...
10 years ago
GPLVODACOM YAZINDUA HUDUMA MPYA YA SIMU DOKTA LEO
Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Masoko wa Vodacom Tanzania, Kelvin Twissa akisisitiza jambo kwa wanahabari (hawapo pichani). Kulia ni Dk. Sulende Kubhoja. Bingwa wa magonjwa ya mwili wa binadamu, Dk. Meshack Shimwela akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani).…
10 years ago
GPL11 years ago
GPLJAMESON WHISKEY SASA YAGOMBEWA DAR
Kinywaji cha Jameson Whiskey kikiwa juu ya meza. Mwakilishi wa Jameson Whiskey Tanzania, Adam Kawa (katikati), akiwa ameshika bilauri yenye kinywaji cha Chivas Whiskey.…
10 years ago
GPLSIMU DOCTOR YAWA GUMZO NDANI YA JIJI LA ARUSHA
Timu ya kutoa elimu kuhusu huduma ya Simu Doctor ikiongozwa na mratibu Francis Chokala (wa kwanza kulia- pichani juu) ikiwa tayari kutoa elimu kwa watumiaji jijini Arusha. …
10 years ago
GPLDOKTA: JK MUOKOE RAY C
STORI: MAYASA MARIWATA NA SHANI RAMADHANI
DOKTA mmoja wa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar (jina lipo) ameibuka na kumtaka Rais Jakaya Kikwete ‘JK’ aliyewahi kubeba jukumu la kuitengeneza afya ya Mbongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ asimamie tena jukumu hilo ili kuokoa maisha ya msanii huyo. Dokta huyo aliyasema hayo juzi katika mahojiano na Amani kufuatia madai kwamba, Ray C hana mahudhurio...
10 years ago
GPLDOKTA: SHILOLE MGONJWA!
Shani Ramadhani na Chande Abdallah
DAKTARI mmoja bingwa wa saikolojia, Erick Mutchumbh, amesema tabia zinazofanywa na nyota wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ zinaashiria kuwa ni mgonjwa aliyeathirika kisaikolojia na matatizo ya unyanyaswaji wakati wa utoto wake. Nyota wa muziki, Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Mutchumbh alitoa maelezo hayo baada ya kuombwa kuzungumzia tabia za Shilole za kugombana...
11 years ago
GPLDOKTA MAMBO ANASWA...
Stori: Waandishi Wetu
MWAKA umeanza, mambo mapya pia yapo! Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers imeingia kazini kwa kasi zaidi. Safari hii imemnasa daktari anayejulikana kwa jina moja la Mambo maarufu sana kwa jina la Dokta Mambo katika jaribio linalodaiwa kuwa ni la utoaji mimba. Tukio hilo lilitokea katika zahanati yake (jina lipo) iliyopo Kawe jijini Dar es Salaam ambapo daktari huyo anayejulikana...
9 years ago
GPLGWAJIMA AMJIBU DOKTA SLAA
Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephath Gwajima (katikati) akizungumza kwenye mkutano huo leo katika Hoteli ya Land Mark. ....Gwajima akionesha hisia zake.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania