MAPOKEZI YA DOKTA SLAA KATAVI

Msafara wa pikipiki na magari mjini Katavi jana wakati wanachama, mashabiki, wapenzi na wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) walipojitokeza kwa wingi kumpokea Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk. Willibroad Slaa ambaye yuko kwenye ziara ya mikoa ya Mbeya, Rukwa na Katavi akikagua zoezi la uandikishaji wapiga kura kwa mfumo wa BVR, kuhamasisha wananchi kujiandikisha kwa wingi kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura huku pia akikagua maandalizi ya chama kwenda kushinda uchaguzi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
GWAJIMA AMJIBU DOKTA SLAA
10 years ago
Vijimambo
11 years ago
Michuzi
10 years ago
VijimamboMKE HALALI WA NDOA WA DK.WILBROD SLAA, MBUNGE ROSE KAMILI AMLIPUA DR SLAA
Mbunge wa Viti Maalumu kupitia chadema,Rose Kamili,akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo jioni kuhusiana na tuhuma alizozitoa mume wake kwamba waliishi kwa maisha ya kula mihogo na familia yake ili kuhakikisha chadema inastawi na kuimarika jambo ambalo si la kweli walikuwa na maisha mazuri ya kawaida tu na kusema kuwa Dk.Slaa anapaswa awaombe radhi wataznzania kwa kufafanisha kula mihogo kuwa ni umaskini na kuongeza kwa kusema mbona ukienda katika mahoteli makubwa...
10 years ago
GPL
DOKTA: SHILOLE MGONJWA!
10 years ago
GPL
DOKTA: JK MUOKOE RAY C
11 years ago
GPL
DOKTA MAMBO ANASWA...
9 years ago
Global Publishers17 Dec
Ndoa ya Dokta Cheni yatikisika!
Gwiji katika tasnia ya uigizaji Bongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dokta Cheni’.
MADAI! Ndoa ya gwiji katika tasnia ya uigizaji na ushereheshaji (MC)Bongo, Mahsein Awadhi Said ‘Dokta Cheni’ inadaiwa kushikiliwa na ‘uzi wa buibui’ kufuatia mwigizaji huyo kukolea kwa mchepuko anayedaiwa kumpangishia chumba katika hoteli moja maarufu jijini Dar, Amani linaripoti.
Kama ilivyo kwa Rais, Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Jumatatu iliyopita, paparazi wetu alifanya ‘ziara’ ya kushtukiza...
11 years ago
GPL
SIMU DOKTA YAGOMBEWA ARUSHA