NDOA YA UGHAIBUNI YAMSHINDA RICHA ADHIA
![](http://api.ning.com:80/files/1zNsEY*-CrLOll1k*HyDJnCVqFdxqJfan829lcKwLo-Epl7uykEvIpTadpXAvwGpCPFAgfPrf1UbdPWGHmykBsp13WHxrnhT/mstz5.jpg?width=650)
Miss Tanzania 2007, Richa Adhia. Stori: Imelda Mtema VUNJA ukimya! Miss Tanzania 2007, Richa Adhia ambaye amevunja rekodi kwa kutokuwa na skendo tangu anyakue taji hilo, amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusiana na ndoa yake ambayo alikuwa akitarajia kuifunga ughaibuni na mchumba wake wa muda mrefu, Hridhaan Dhllon. Akizungumza na gazeti hili, Richa alisema kuwa kila kitu kilienda sawa lakini kukawa na kikwazo kimoja kikubwa cha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s72-c/law_5.jpg)
MAKALA YA SHERIA: MKE ASIYE WA NDOA NA MTOTO WA NJE YA NDOA HAWARITHI KISHERIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-g3fkfqmzjBA/VPN81rBbEBI/AAAAAAAHG0o/--NlsHTonD8/s1600/law_5.jpg)
Kumekuwepo na utata mkubwa kuhusu urithi wa mali za marehemu hasa inapotokea kuwa marehemu alikuwa na mke zaidi ya mmoja na hapohapo watoto wanaotokana na mama tofauti. Tumeshashuhudia magomvi makubwa misibani lakini pia tumeshuhudia na tunaendelea kushuhudia utitiri wa mashauri kuhusu mkanganyiko wa mali za marehemu ambaye familia yake ni ya watoto wanatokana na mama tofauti. Kutokana na hayo kuna umuhimu mkubwa wa...
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971, chanzo cha ongezeko la mimba na ndoa za utotoni nchini
Mratibu wa Utetezi Taifa, SOS Tanzania/Zanzibar, John Batista, akizungumza katika Mdahalo wa Nijali uliolenga ndoa za utotoni na mimba za utotoni kwa kushirikisha Chama cha Waandishi wa Habari za Watoto, (TAJOC) na wengine, uliofanyika leo katika Hoteli Regency jijini Dar es Salaam.
Na Andrew Chale, Modewjiblog.com
Imeelezwa kuwa, kuongezeka kwa ndoa za utotoni inatokana na sheria ya ndoa ya mwaka 1971 kuendelea kutumika wakati hali yake ni mbaya kwa watoto wakike kushindwa kufikia ndoto...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-I26kTZuhyY0/VdpU44XREXI/AAAAAAAADKw/t1zw5lxJF2g/s72-c/2015-08-22%2B12.59.00.jpg)
"Muumbaji wa ndoa ni Mungu peke yake............Hakuna mwalimu wa ndoa hapa duniani" - Tumaini Kilangwa
![](http://3.bp.blogspot.com/-I26kTZuhyY0/VdpU44XREXI/AAAAAAAADKw/t1zw5lxJF2g/s640/2015-08-22%2B12.59.00.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Sheria ya ndoa kikwazo kukabili ndoa za utotoni
KUFUATANA na sheria ya ndoa ya mwaka 1971, ndoa ni muungano wa hiari kati ya mwanamme na mwanamke unaokusudiwa kudumu kwa muda wa maisha yao. Sheria ya ndoa inasema kuwa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-OM1nQVXWg4E/VYQmjvclSjI/AAAAAAAHhfM/l8eTk9FtXSo/s72-c/1.jpg)
SHERIA YA NDOA YAONGEZA NDOA NA MIMBA ZA UTOTONI
10 years ago
Michuzi10 years ago
Vijimambo10 May
DJ GULU RAMADHANI NANJI ATIMIZA MIAKA 19 YA NDOA YAKE, VIJIMAMBO BLOG INAKUTAKIA MIAKA AMANI NAFURAHA ZAIDI KATIKA NDOA YAKO.
![](https://scontent-iad.xx.fbcdn.net/hphotos-xpa1/v/t1.0-9/p240x240/11200587_909761035753767_7843757387391072959_n.jpg?oh=4ca697f286dccbefbfa5b80acd7b4563&oe=55C83211)
Oooh Allah Naona Kama Naota Vile Kama Siamini Vile...Asante Sana Mungu Kwa Pumzi Unayotupa Hadi Leo Tarehe 10 May Twafikisha Miaka 19 Ya Ndoa Yetu Mimi Na Mke Wangu Kipenzi Bi Khadija Gulu...Asante Sana Bi Wife Kwa Kustahmili Mengi Kutwa Nipo Katika Mihangaiko,Safarini Kikazi Lakini Mungu Amekujaalia Upendo,Subra,imani Na Moyo Wa Kipekee Wa Kijasiri Sijapata Kuona Wa Kuweza Kukaa Na Familia Kama Mume Nipo Nyumbani Wakati Wote,Wewe Kweli Ni Mke Bora...Wakati Twafunga Ndoa Wengi Walidiriki...
10 years ago
Habarileo07 Jun
JK aaga Watanzania ughaibuni
RAIS Jakaya Kikwete ameendelea kuaga Watanzania kila anapopata fursa ya kukutana nao, huku mafanikio ya miaka kumi ya uongozi wake yakijidhihirisha katika maeneo mbalimbali, ikiwemo katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambako Bajeti ya Serikali kupitia wizara mbalimbali imekuwa ikijadiliwa na kupitishwa.
11 years ago
Michuzi11 Feb