Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndugai,DC kikaangoni, Cuf wapigilia msumari

Taasisi ya Utafiti wa Masuala ya Ardhi (HakiArdhi), imekosoa hatua ya Naibu Spika, Job Ndugai kuingilia mgogoro wa wakulima na wafugaji wilayani Kiteto na kusema kuwa ni mwendelezo wa uchochezi wa wanasiasa katika migogoro hiyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Wabunge CUF wamshukia Ndugai

112*Wadai amevunja kanuni Dk. Shein,  polisi kuingia ukumbini

*Kubenea naye atangaza kumburuza mahakamani

Fredy Azzah, Dar na Ramadhan Hassan, Dodoma

WABUNGE wa Chama cha Wananchi (CUF) wamemtuhumu Spika wa Bunge, Job Ndugai  kumruhusu Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein  kuingia bungeni.

Kwa mujibu wa wabunge hao, Spika alifanya bhivyo  licha ya wao kupinga hatua hiyo.

Vilevile, Mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea (Chadema), ametangaza kumfikisha mahakamani Spika Ndugai akidai kwamba alikiuka...

 

10 years ago

Mwananchi

Warioba apigilia msumari escrow

Mwenyekiti wa iliyokuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema pamoja na kutoa maazimio manane kuhusu uchotwaji wa Sh306 bilioni katika Akaunti ya Tegeta Escrow, Bunge limefanya makosa ya kutozijumuisha Wizara ya Fedha na ile ya Viwanda na Biashara katika uchunguzi huo kwa kuwa nazo zinahusika.

 

10 years ago

Vijimambo

Jaji Bomani apigilia msumari katiba mpya.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) mstaafu, Jaji Mark Bomani, ambaye pia ni mtaalam nguli wa Katiba, ameonya kuwa iwapo upigaji wa kura ya maoni ya Katiba inayopendekezwa utalazimishwa kufanyika Aprili 30, mwaka huu, wakati dalili zote zinaonyesha kuwa haiwezekani, unaweza kuzua mtafaruku mkubwa nchini.

Ili kuepusha hali hiyo, ameshauri kura ya maoni iahirishwe hadi baadaye, badala yake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) iendelee na...

 

10 years ago

Mwananchi

CCM yapigilia msumari hatima ya #Katiba, yabariki Bunge kuendelea bila #Ukawa [VIDEO]

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC-CCM),imepigilia msumari wa mwisho kuhusu sintofahamu ya vikao vya Bunge Maalum la Katiba baada ya kukubaliana na mwenendo mzima wa Bunge hilo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi kikaangoni

IMEELEZWA kuwa kutokuwepo kwa imani, mfumo wa sheria pamoja na utumiaji wa njia zisizo rasmi ili kupata haki, kunadhoofisha usalama wa nchi. Kauli hii ilitolewa jana jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Mwananchi

Vigogo kikaangoni

 Hatima ya viongozi watano wa ngazi za juu wa Mamlaka ya Reli nchini (TRL) kung’olewa au kubaki madarakani, itajulikana ndani ya siku saba baada Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe kuunda kamati ya uchunguzi wa matatizo ndani ya TRL.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga, Azam kikaangoni

Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara, inaendelea leo kwa mechi mbili zitakazopigwa kwenye viwanja viwili tofauti, Jamhuri Morogoro na Azam Complex Jijini Dar es Salaam.

 

9 years ago

Habarileo

Msenegali kikaangoni Simba

MSHAMBULIAJI anayewania kusajiliwa na Simba, Pape N’daw leo na kesho atakuwa na mtihani mkubwa wakati timu hiyo ya Mtaa wa Msimbazi, Kariakoo Dar es Salaam itakapocheza mechi mbili za kirafiki mjini hapa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani