Ne-Yo: Naipenda Nairobi
NEW YORK, MAREKANI
NYOTA wa muziki nchini Marekani, Shaffer Smith ‘Ne-Yo’ ameonyesha kufurahiwa na mji wa Nairobi, nchini Kenya, baada ya kuishi huko kwa muda alipokuwa katika shughuli zake za kimuziki.
Neyo alizungumzia mapokezi aliyopata katika mji huo akajikuta akiweka wazi kwamba ataendelea kuupenda mji huo na nchi yake kwa ujumla.
Pia msanii huyo aliendelea kuonyesha hisia za mapenzi yake kwa mji huo kwa kuvaa fulana
iliyoandikwa ‘Naipenda Nairobi’.
Mbali na kuvaa T-shirt hiyo, pia...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-xA3h66RSUnM/Ux4yHFrgkPI/AAAAAAAADWA/ixpGXbQZBew/s1600/MKCT_AP20b.jpg?width=650)
9 years ago
Mtanzania20 Aug
Chipukizi Bhoke atoka na Naipenda Tanzania
NA MWANDISHI WETU
MSANII chipukizi katika muziki wa Bongo Fleva, Bhoke Joseph (Honeyb), ameibuka na wimbo wa ‘Naipenda Tanzania’ unaoelezea uzuri wa Tanzania.
Katika wimbo huo uliorekodiwa katika studio ya Steam iliyopo Kimara Korogwe jijini Dar es Salaam chini ya prodyuza Master, inaelezea mambo mbalimbali yaliyoiwezesha Tanzania kuwa hapa ilipo.
Wimbo huo pia umewaelezea viongozi wote walioongoza nchi hii hadi sasa huku ikiwataka watakaokuja waendeleze Watanzania na amani yao.
“Nimeimba...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Whapl-f-NAYqcgour16qmCXNvBgY4N9rEgdDfnFamc*lQL*MkSltD23sTtKksi4Ua-ehPerTUV9jvF3GPtWeSRqsIz4GUg6z/sandra.jpg)
SANDRA: NAIPENDA SANA NDOA YANGU
9 years ago
Bongo509 Nov
New Video: Tanzania’s Various Artists — Naipenda Tanzania
![Newww](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Newww-300x194.jpg)
Hii ni video ya wasanii mbalimbali wa Tanzania wakihimiza upendo, amani na utulivu nchini.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!