SANDRA: NAIPENDA SANA NDOA YANGU
TAHADHARI Mimi nakukubali sana Sandra, kwanza nakupa hongera kwa kazi zako nzuri, ila nakupa tahadhari, jitahidi hivyohivyo kuwa na msimamo wa kutopata skendo, vinginevyo utajiharibia katika sanaa pia jamaa atakumwaga kwani utapoteza sifa. Selemani Alifa, Dar, 0718803204 SANDRA: Asante, nitajitahidi. Staa wa filamu Bongo, Salma Salmini 'Sandra'. UCHUMBA Sandra nakuzimia sana jinsi ulivyo na umbo zuri, naomba uwe mchumba...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboNampenda sana boyfriend wa rafiki yangu.
MSAIDIENI HUYU MSICHANA:Pole na kazi Mpekuzi, Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, nina rafiki yangu ambaye nimesoma naye na ni kama ndugu yangu wa damu kutokana na tulivyo na watu wote wanajua kwamba mimi ni yeye na yeye ni mimi.Rafiki yangu huyu nimesoma naye kuanzia O-leve, mpaka advance na sasa tupo wote chuo hapa dar es salaam, kwa kifupu ni urafiki wa damu.
Mwaka jana katikati rafiki yangu huyu alinitambulisha kwa boyfriend wake ambaye ni kaka anayesoma chuo kingine ambacho hakiko...
11 years ago
Tanzania Daima03 Aug
Lucy Komba: Harusi yangu itakuwa ‘simple’ sana
MWANADADA anayefanya vizuri katika filamu, Lucy Komba, amesema harusi yake inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni itakuwa ya kawaida sana ‘simple’ kuliko harusi nyingine za wasanii ambazo zimewahi kufanyika. Akizungumza na safu...
10 years ago
Bongo Movies23 Feb
Jb: Mzee wa Swaga Ndio Movie Yangu Ninayoipenda Sana Tangu Niaze Kuigiza
Mwigizaji na muongozaji wa fiamu hapa Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ ameitaja filamu ya Mzee wa Swaga kua ndio bora zaidi kati ya filamu zake zote tangu aanze kuigiza.
“Kosa la defence ...ni goli....nafasi ya 1.ndugu zangu. Tangu nianze kuigiza hii movie naipenda sanaaa....”-JB aliandika.
Wakati ya filamu ya Mzee wa Swaga ambayo imetoka mwanzoni mwa mwaka huu akiitaja kuwa namba moja, namba mbili ilikwenda kwa filamu yake ya 14 Days, tatu, Senior Bachelor , nne, DJ Ben, huku tano akiitaja...
9 years ago
Global Publishers26 Dec
Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani -01
Nayainua macho juu, nautazama ulimwengu ambapo namuona kila mtu anatembea akiwa na yake mazito moyoni. Wengi aibu imetutawala kutoa yaliyo mioyoni kwa kuhofia aibu tutakayoipata, kwa watu kujua mambo ya aibu yaliyomo mioyoni mwetu.
Wengi tumeanzisha mahusiano na shetani bila kujua na mwisho wake kufunga naye ndoa kabisa na kuamini yote atuelekezayo ndiyo sahihi na kusahau kuna Mungu mwenye nguvu na wivu ambaye anatupenda na alituleta duniani kwa kusudi maalumu la kumuabudu yeye.
Hivyo,...
9 years ago
Global Publishers02 Jan
Nilivyoivunja Ndoa Yangu na Shetani – 3
ILIPOISHIA:
Maisha yaliendelea, nakumbuka siku moja tukiwa tumelala majira ya saa saba usiku nyumba yetu ilivamiwa na maaskari. Emma Mo pamoja na mimi tulichukuliwa juujuu na kupelekwa polisi usiku huo huo. Kwa upande wangu sikujua tumechukuliwa kwa sababu gani.Kabla ya kutuchukua walifanya upekuzi mzito kitu kilichonishangaza na kujiuliza kuna nini.
SASA ENDELEA…
Tulipofika polisi tulitenganishwa kila mmoja aliwekwa sehemu yake, tulilala pale hadi asubuhi. Kesho yake majira ya saa tano...
5 years ago
Bongo514 Feb
Ndoa yangu haivunjiki Ng’o!- Chameleone
Chameleone amekanusha tetesi kwamba mkewe Daniella Atim amekwenda mahakamani kudai talaka.
Taarifa zilisambaa mitandaoni kwamba Daniella alidai kwa kutokuwa na furaha na ndoa yake kutokana na manyanyaso na vipigo anayoyapata kutoka kwa muimbaji huyo mkongwe wa Uganda.
Chameleone ameamua kuvunja ukimya kupitia mtandao wa Facebook kwa kurusha video ya dakika 53 akiongelea mengi kuhusu familia yake, ambayo inaonekana kuwa na furaha tofauti na yanayozungumzwa.
“Kuna habari nyingi zimesambaa...
11 years ago
GPLNI RAHISI SANA KUIMARISHA NDOA YAKO!
10 years ago
BBCSwahili09 Jun
Bangladesh:ndoa za mapema zimeenea sana
10 years ago
GPLSAUDA: NANI KASEMA NDOA YANGU MAGUMASHI?