NEC: UCHAGUZI MKUU HAUTASOGEZWA MBELE
![](http://api.ning.com:80/files/Yyq9zrGrKEhQYZn59VFMA9hbw1ufeToPCciKiBjU1SsprRJBJyQTLaB5uPAnfwV4ncplTPRxMlVi5lYrgg*msVlrLCJkScOB/unnamedt.jpg?width=650)
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Manunuzi na Logistic, Gregory Kaijage na kushoto ni Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), Sisti Chriati. Baadhi ya Wandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa habari wa Tume ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-Qauh2eZ96yk/VTEqfXnQyXI/AAAAAAAHRtw/fFoHBGGpdyA/s72-c/unnamedt.jpg)
UCHAGUZI MKUU HAUTASOGEZWA MBELE - NEC
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uchaguzi mkuu utafanyika kama ulivyopangwa na haiwezi kufanya uchaguzi huo usogezwe mbele kutokana na suala hilo kuwa la kikatiba.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa wanasiasa wamekuwa na kauli ambazo zinawafanya wananchi wapate hofu wakati suala hilo kuhairisha uchaguzi halipo katika...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-_G5efAOU_6M/VTEhHloTTHI/AAAAAAAHRrs/iQR_XfHHLqg/s72-c/1.jpg)
NEC:UCHAGUZI MKUU HAUTASOGEZWA MBELE
![](http://1.bp.blogspot.com/-_G5efAOU_6M/VTEhHloTTHI/AAAAAAAHRrs/iQR_XfHHLqg/s1600/1.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-90sUNfXSwQU/VTEhMUB3xUI/AAAAAAAHRr0/G1-_m83Z4-Q/s1600/2.jpg)
9 years ago
Dewji Blog13 Sep
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015
Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.
Vifaa mbalimbali...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s72-c/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-q0xCtNigswU/VfSlvTq2VnI/AAAAAAABlxE/N41mk93CnoM/s640/11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-2wbNUQWxs8w/VfSlycBQWUI/AAAAAAABlxM/kATyAIcFBF8/s640/11930774_1465390323770465_1602462128218917504_o.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/9S3oYuZgcLo/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Oi8IGTb-jSKc3Kp4A7O1whjBuDbIgDSGfxD1GXVKD4lZXCHpjavyxatOM-0TezbjynW89-q7O2*Uy-pWKznihlfYmHgyEpid/JAJILUBUVA.jpg)
NEC YATOA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WBXIK59U1UU/VWLq1NMbGwI/AAAAAAAHZlw/OvUcLHDyC9c/s72-c/140131072218_tanzania_elections_512x288_afp.jpg)
NEC yatoa Ratiba Rasmi ya Uchaguzi Mkuu.
![](http://3.bp.blogspot.com/-WBXIK59U1UU/VWLq1NMbGwI/AAAAAAAHZlw/OvUcLHDyC9c/s640/140131072218_tanzania_elections_512x288_afp.jpg)
10 years ago
Mwananchi11 May
KUELEKEA UCHAGUZI MKUU: Chaso waivaa NEC
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-CrGTc8W8l2A/VS0lufCN54I/AAAAAAAHRHc/K57v3DOO3vo/s72-c/2.jpg)
SIKU YA UCHAGUZI MKUU ITATANGAZWA NA NEC NA SI VINGINEVYO —LIPUMBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-CrGTc8W8l2A/VS0lufCN54I/AAAAAAAHRHc/K57v3DOO3vo/s1600/2.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-Ltc-ZtD4AMI/VS0lut9106I/AAAAAAAHRHg/GsPBznKC21I/s1600/1.jpg)