Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC:UCHAGUZI MKUU HAUTASOGEZWA MBELE

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Taifa ya Uchaguzi (NEC),Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam,kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Manunuzi na Logistic,Gregory Kaijage na kushoto ni Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya  Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama),Sisti Chriati. Baadhi ya wandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa habari wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  jijini Dar es Salaam leo.  (Picha na Avila...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UCHAGUZI MKUU HAUTASOGEZWA MBELE - NEC

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema uchaguzi mkuu utafanyika kama ulivyopangwa na haiwezi kufanya uchaguzi huo usogezwe mbele kutokana na suala hilo kuwa la kikatiba.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva amesema kuwa wanasiasa wamekuwa na kauli ambazo zinawafanya wananchi wapate hofu wakati suala hilo kuhairisha uchaguzi halipo katika...

 

10 years ago

GPL

NEC: UCHAGUZI MKUU HAUTASOGEZWA MBELE

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mstaafu Damian Lubuva akizungumza na waandishi wa habari jana jijini Dar es Salaam, kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Manunuzi na Logistic, Gregory Kaijage na kushoto ni Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), Sisti Chriati.

Baadhi ya Wandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano wa habari wa Tume ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu aitembelea NEC kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu Oktoba 25, 2015

11223558_1465389910437173_7959874733452473066_o

Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema jana alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam.

11930774_1465390323770465_1602462128218917504_o

Vifaa mbalimbali...

 

9 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU BW. FROLENCE TURUKA AITEMBELEA NEC KUONA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 25, 2015

Naibu Katibu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) na Mkuu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), Dk. Sisti Chriati akimpatia maelezo Katibu Mkuu ofisi ya Waziri Mkuu Bw. Frolence Turuka akimpatia maelekezo juu ya NEC inavyoweza kutunza kumbukumbu za wananchi mapema leo alipoitembelea kuona maandalizi ya Uchaguzi Mkuu ambapo alishuhudia vifaa mbalimbali vya Uchaguzi vikiwasili na Kupokelewa katika ofisi ya NEC kitengo cha Daftari Bohari Kuu jijini Dar es Salaam. Vifaa ...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

NEC YATOA RATIBA YA UCHAGUZI MKUU

Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (Nec), Jaji mstaafu Damian Lubuva. TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba ya Uchaguzi Mkuu kwa mwaka huu 2015. Katika taarifa iliyotolewa na Mwenyekiti wa tume hiyo, Jaji Damian Lubuva ni kwamba; Agosti 21, 2015: Uteuzi wa wagombea Urais, Ubunge na Udiwani. Agosti 22 - Oktoba 24, 2015: Kampeni za uchaguzi. Oktoba 25, 2015: Siku ya kupiga kura.… ...

 

10 years ago

Michuzi

NEC yatoa Ratiba Rasmi ya Uchaguzi Mkuu.

Na Beatrice Lyimo-MAELEZOTume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa ratiba rasmi kwa vyama vya Siasa na wananchi wote itakayotumika katika Uchaguzi Mkuu wa Serikali  unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu.Kwa mujibu wa taarifa iliyosainiwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo  Jaji wa Rufaa (Mst.) Damian Lubuva imesema kuwa kwa Mamlaka waliyopewa kwa mujibu wa vifungu vya 35B(1), (3) (a), 37 (1) (a) na 46 (1) vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi,  Sura ya 343, shughuli za uchaguzi zinatarajia kuanza hivi...

 

10 years ago

Mwananchi

KUELEKEA UCHAGUZI MKUU: Chaso waivaa NEC

>Shirikisho la Wanafunzi Wanachadema wa Vyuo Vikuu (Chaso), limeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kueleza utaratibu wa kuwaandikisha wanafunzi katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ili nao wapate fursa ya kushiriki Uchaguzi Mkuu ujao.

 

10 years ago

Michuzi

SIKU YA UCHAGUZI MKUU ITATANGAZWA NA NEC NA SI VINGINEVYO —LIPUMBA

 Mwenyekiti wa taifa wa Chama  cha Wananchi (CUF),Profesa   Ibrahim Lipumba akizungumza na baraza la uongozi wa chama hicho (hawapo pichani) iliyofanyika Makao Makuu ya Chama hicho jijini Dar es Salaam, wapili kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Shariff Hamad, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Zanzibar,Nassor Ahmed na kushoto ni makamu Mwenyekiti wa chama cha Wananchi (CUF) Taifa,Duni Haji. Makamu wa kwanza wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Maalim Seif Shariff...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani