Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEC yakubali yaishe

>Hatimaye Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imekubali yaishe na kutangaza uamuzi wa kuahirisha Kura ya Maoni ya Katiba Inayopendekezwa iliyopangwa kufanyika Aprili 30, kutokana na kutokamilika kwa uandikishaji wa Daftari la Kudumu la Wapigakura kwa kutumia teknolojia ya Biometric Voters Registration (BVR).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Serikali yakubali yaishe, kutojadili muswada wa habari

Dodoma. Ni rasmi sasa Serikali imekubali yaishe kwa kuundoa muswada wa Sheria ya Upatikanaji Habari 2015 hadi Bunge lijalo ili uweze kuboreshwa na kupunguza madhara yanayoweza kujitokeza hapo baadaye katika jamii.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nchimbi akubali yaishe

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa yeye na mawaziri wenzake watatu walikubali kuwajibika kutokana na makosa yaliyofanywa na askari wakati wa kutekeleza Operesheni Tokomeza Ujangili....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Loga akubali yaishe Simba

KOCHA Mkuu wa  Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic amekubali kuendelea kuinoa timu hiyo kwa mwaka mmoja zaidi. Loga aliyeanza kuinoa timu hiyo tangu mwaka jana akipokea jahazi kutoka kwa Milovan Cirkovic,...

 

10 years ago

GPL

AUNTY LULU AKUBALI YAISHE!

Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuachwa na mpenzi wake wa siku nyingi Bond, ambaye kwa sasa anadaiwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwigizaji wa filamu, Wastara Juma, Aunty Lulu amekubali yaishe na sasa hana tena kinyongo nao. Mwigizaji wa filamu Bongo, 'Aunty Lulu'. “Mimi sina tena kinyongo na Wastara, vile nilikuwa namfanyia tu vituko, lakini kwa sasa asiniogope wala asiwe na wasiwasi na mimi,… ...

 

9 years ago

Habarileo

Matola akubali yaishe kipigo Simba

KOCHA Msaidizi wa Simba, Suleiman Matola, amesema hawakutarajia kupoteza mchezo dhidi ya Prisons lakini wanajipanga kwa ajili ya michezo ijayo.

 

10 years ago

Dewji Blog

Sakata la ESCROW Muhongo akubali yaishe!

DSCF1860

Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo akizungumza na waandishi wa katika mkutano uliofanyika mchana huu kwenye ukumbi wa mikutano wa ofisi za Wizara hiyo, zilizopo kwenye Mtaa wa Samora, Jijini Dar es salaam.

Waziri Muhongo ametangaza kujiuzulu wadhifa wake huo, kufuatia shinikizo la muda mrefu la kumtaka afanye hivyo au awajibishwe, kufuatia mapendekezo ya Bunge lililopita, lililoagiza serikali kuchukua hatua dhidi yake na wengine kadhaa kufuatia kashfa ya akaunti ya Tegeta...

 

9 years ago

Mwananchi

Profesa Kitila: Lowassa kubali yaishe

Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Kitila Mkumbo amesema aliyekuwa mgombea wa urais wa Chadema, Edward Lowassa, hana budi kukubali matokeo licha ya kupoteza nafasi hiyo.

 

10 years ago

Habarileo

Lowassa akubali yaishe Urais CCM

Aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward LowassaSIKU moja baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM), kumuonya aliyekuwa Waziri Mkuu Edward Lowassa, kwa tuhuma za kukiuka Katiba na kuanza kampeni za Urais kabla ya muda, kiongozi huyo ameibuka na kudai kuwa hana njia ya kuwazuia watu wasimuombe agombee Urais.

 

9 years ago

GPL

AUNTY LULU: WASTARA KUBALI YAISHE

Gladness Mallya
BAADA ya hivi karibuni wasanii wa filamu waliokuwa wapenzi, Wastara Juma na Bond Suleiman kutengana, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ameibuka na kumshauri staa huyo kukubaliana na matokeo.  Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’. Aunty Lulu aliyewahi kuwa mpenzi wa Bond, alimtaka mwenzake kukubaliana na matokeo kwani huenda muda ndiyo umefika na katika mapenzi, hilo ni jambo la kawaida.… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani