Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NEMC yaupiga ‘stop’ uwanja Yanga

Ndoto ya Yanga ya kutaka kuongezewa eneo la kujenga uwanja wake Jangwani imegonga mwamba baada ya  Baraza la Mazingira la Taifa (NEMC) kudai eneo ni hatarishi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Nemc yaruhusu uwanja wa ndege sasa Serengeti

Hatimaye Baraza la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira nchini (Nemc) limeridhia ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mugumu katika Wilaya ya Serengeti mkoani Mara baada ya kutoa hati ya utathmini wa athari za mazingira ya mradi huo.

 

10 years ago

Michuzi

MECHI YA YANGA NA BDF XI FC YA BOTSWANA INAPIGWA HIVI SASA UWANJA WA TAIFA,YANGA INAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mchezaji wa timu ya Yanga,Mrisho Khalfan Ngassa akiwania mpira na Mchezaji wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana wakati wa mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika unaopigwa hivi sasa kwenye uwanja wa Taifa jini Dar es salaam.Yanga inaongoza kwa bao 2 - 0 zilizotiwa kimiani na Mshambuliaji Hamis Tambwe. PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI Golikipa wa timu ya BDF XI FC ya nchini Botswana akiondosha hatari iliyokuwa ikielekezwa langoni mwake wakati wa Mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA MBEYA CITY UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 1-0

 Mshambuliaji machachari wa timu ya Yanga,Mrisho Ngassa (17) akichuana vikali kuwania mpira na Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius wakati wa mtanange wao wa Ligi kuu Tanzania Bara unaoendelea kufanika hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimemalizika hivi punde na Yanga wanaongoza kwa Bao 1-0 lililotiwa kimiani na Mrisho Ngassa,dakika ya 15 ya mchezo kipindi cha kwanza.  Beki wa Timu ya Mbeya City,Deogratias Julius akijiandaa...

 

11 years ago

Michuzi

MTANANGE WA YANGA NA KOMOROZINE YA NCHINI COMORO UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR HIVI SASA,YANGA YAONGOZA KWA BAO 2-0

 Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akiwatoka mabeki wa timu ya Komorozine ya nchini Comoro wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga inaongoza kwa Bao 2-0.  Mshambuliaji wa Pembeni wa Timu ya Yanga,Simon Msuva (27) akichuana vikali na Beki wa Timu ya Komorozine ya nchini Comoro,Ahmad Houmadi (5) wakati wa mchezo wao wa Klabu Bingwa Barani Afrika unaoendelea kuchezwa hivi sasa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Okwi apigwa ‘stop’ Yanga

WAKATI Yanga wakitarajiwa kutua nchini leo, imepata pigo baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kusimamisha usajili wa mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi, hadi utakapopatikana ufafanuzi kutoka Shirikisho la Kimataifa (Fifa)....

 

11 years ago

GPL

Yanga yampiga stop Pluijm kupanda ndege

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm.
Na Sweetbert Lukonge
WAKATI harakati za usajili wa wachezaji kwa timu za ligi kuu zikianza kupamba moto, uongozi wa Yanga umempiga ‘stop’ kocha  wake mkuu raia wa Uholanzi, Hans van Der Pluijm, kurejea kwao.
Imedaiwa kuwa sababu kubwa ya uongozi huo kufanya hivyo ni kumtaka kocha huyo ashiriki kikamilifu katika zoezi zima la usajili. Uongozi umesema kama kocha huyo...

 

9 years ago

TheCitizen

SOCCER: JKT Ruvu out to stop Yanga’s juggernaut

JKT Ruvu face a tall order to stop Young Africans juggernaut in a Vodacom Premier League match planned for the 60,000-seater National Stadium today.

 

10 years ago

Mwananchi

Uwanja Yanga: Ilala yamtwisha mzigo JK

Hatima ya uwanja wa klabu ya Yanga, Kaunda sasa ipo mikononi mwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.

 

11 years ago

Mwananchi

Yanga sahauni uwanja kujengwa Jangwani

>Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa amepigilia msumari wa mwisho kwa kuwataka Yanga kusahau kuhusu ongezeko la eneo la kujenga uwanja wake eneo la Jangwani kwa vile sehemu hiyo ni mkondo wa maji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani