Yanga yampiga stop Pluijm kupanda ndege
Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Na Sweetbert Lukonge WAKATI harakati za usajili wa wachezaji kwa timu za ligi kuu zikianza kupamba moto, uongozi wa Yanga umempiga ‘stop’ kocha wake mkuu raia wa Uholanzi, Hans van Der Pluijm, kurejea kwao. Imedaiwa kuwa sababu kubwa ya uongozi huo kufanya hivyo ni kumtaka kocha huyo ashiriki kikamilifu katika zoezi zima la usajili. Uongozi umesema kama kocha huyo...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi02 Feb
Serikali yampiga ‘Stop’ Msangi
10 years ago
VijimamboMAHAKAMA YAMPIGA STOP DAVIDO KUFANYA ONESHO LA FIESTA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS.
Na Sakina ShabaniKweli waliosema mwisho wa ubaya ni aibu waliona mbali sana hivyo ndiyo kituo cha Clouds Fm Radio & Prime...
9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Yanga yatangaza kuachana na Niyonzima, yampiga faini Dolla 71,175
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam imetangaza kuachana na kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima (pichani) kutokana na mchezaji huyo kuvunja masharti ya mkataba na kuwa na utovu wa nidhamu.
Akitangaza uamuzi huo, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro alisema Niyonzima ameshindwa kufuata makubaliano ya mkataba aliyowekeana na klabu hiyo kwa kuvunja kanuni za mkataba alioingia na Yanga.
Muro alisema kuwa Niyonzima amekuwa na tabia ya...
5 years ago
CCM Blog9 years ago
Habarileo05 Nov
Pluijm: Yanga bingwa
KOCHA wa Yanga, Hans van der Pluijm, amesema timu yake bado ina nafasi kubwa ya kutetea ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu na kwamba haoni sababu ya mashabiki wa timu hiyo kuwa na hofu. Kwa sasa, Yanga iko katika nafasi ya pili ya msimamo wa ligi ikiwa na pointi 23, kileleni ikiwemo Azam yenye pointi 25.
10 years ago
Mtanzania28 May
Pluijm ashtuka Yanga
JENNIFER ULLEMBO NA JUDITH PETER, DAR ES SALAAM
WAKATI klabu ya Yanga ikiendelea kusajili nyota wake kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara, kocha mkuu wa timu hiyo Mholanzi, Hans Van der Pluijm, amewashtukia viongozi wa timu hiyo akieleza anahisi baadhi ya wachezaji waliosajiliwa hadi sasa hakuwapendekeza katika ripoti yake.
Klabu hiyo hadi sasa imefanikiwa kupata saini za wachezaji watatu ambao ni Deus Kaseke aliyetoka Mbeya City, Haji Mwinyi wa Zanzibar na Benedicto Tinoco kutoka Kagera...
11 years ago
Mwananchi27 May
Pluijm adai mshahara Yanga
11 years ago
Mwananchi17 May
Pluijm mwanachama hai Yanga