MAHAKAMA YAMPIGA STOP DAVIDO KUFANYA ONESHO LA FIESTA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS.
![](http://2.bp.blogspot.com/-3UdRE5MqLak/VEIcp5ZQF1I/AAAAAAAGrak/-43dDFaZ3VQ/s72-c/unnamed.jpg)
Hii ndiyo taarifa ya Mahakama iliyotolewa jana ya kumzuia Davido kutofanya onesho lolote la Prime Promotion kwani tayari alikuwa keshaingia mkataba na kituo cha Radio Times mkataba wa kufanya onesho hilo
Mwanamuziki Davido akishangaa mara baada ya kupokea taarifa za kuzuiwa kufanya onesho lake kwenye jukwaa la Fiesta leo hii Jumamosi kwenye viwanja vya Leaders Club.
Na Sakina ShabaniKweli waliosema mwisho wa ubaya ni aibu waliona mbali sana hivyo ndiyo kituo cha Clouds Fm Radio & Prime...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Oct
Video: Mahakama ya Kisutu yamzuia Davido kuperform katika tamasha la Fiesta
Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, Dar es Salaam imemzuia msanii kutoka Nigeria, Adedeji Adelek maarufu kama ‘Davido’ (pichani) kuperform katika tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds Fm na Prime Promotion, October 18,2014.
Amri hiyo imetolewa jana (October 17) na hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu , mheshimiwa D. Kisoka kufuatia maombi ya dharura yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Times Fm Radio na Times Fm Promotion.
Times Fm Radio na Times Fm Promotion walipeleka maombi ya dharura...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-3UdRE5MqLak/VEIcp5ZQF1I/AAAAAAAGrak/-43dDFaZ3VQ/s72-c/unnamed.jpg)
NEWS ALERT: Mahakama yamzuia Davido kuperform katika tamasha la Fiesta
![](http://2.bp.blogspot.com/-3UdRE5MqLak/VEIcp5ZQF1I/AAAAAAAGrak/-43dDFaZ3VQ/s1600/unnamed.jpg)
Amri hiyo imetolewa jana (October 17) na hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu , mheshimiwa D. Kisoka kufuatia maombi ya dharura yaliyowasilishwa mahakamani hapo na Times Fm Radio na Times Fm Promotion.Times Fm Radio na Times Fm Promotion walipeleka maombi ya dharura mahakamani...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-oOSKmH33lKc/Vj98MB0DFkI/AAAAAAAIE5o/me3VaH6VHN8/s72-c/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
TAMASHA LA KUELEKEA KUMBUKUMBU YA SIKU YA MTOTO NJITI DUNIANI LAANZA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS CLUBU JIJINI DAR ES SALAAM
![](http://3.bp.blogspot.com/-oOSKmH33lKc/Vj98MB0DFkI/AAAAAAAIE5o/me3VaH6VHN8/s640/unnamed%2B%252817%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-waNV9fT_RJo/Vj98QDCDvbI/AAAAAAAIE50/KkI7BKGYbT8/s640/unnamed%2B%252810%2529.jpg)
10 years ago
VijimamboSERENGETI FIESTA YAWATAMBULISHA T.I, DAVIDO, VICTORIA KIMANI NA WENGINEO LEO KABLA YA KUPANDA KWENYE JUKWAA LA FIESTA MUDA MFUPI UJAO
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/xTc3qoe4Qzs/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Tamasha la magari kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja vya Leaders Club
Afisa Fedha Mkuu wa Milembe Insurance Bw. Dioniz Diocles akiongea na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September, 2014 katika viwanja vya Leaders Club Jijini Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ja JAST Tanzania Limited Bw. Jau Kessy.
Kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni ja JAST Tanzania Limited Bw. Jau Kessy akiongea na waandishi wa habari kuhusu Tamasha la magari linalotarajiwa kufanyika tarehe 27 na 28 September,...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-DfhVqTTYhlI/VSe-V7K58QI/AAAAAAAHQGw/H-jHr-OcU80/s72-c/Nyamachoma-blog-poster-Dar.jpg)
11 years ago
Dewji Blog09 Aug
Serengeti FIESTA 2014 leo kutikisa jiji la Mwanza ndani ya viwanja vya CCM Kirumba jijini Mwanza
Mmoja wa wasanii watakaotoa burudani katika matamasha ya mwaka huu ya Serengeti Fiesta, Vanessa Mdee akizungumza wakati wa uzinduzi wa tamasha la muziki la mwaka huu la Serengeti Fiesta litakaloanza kutimua vumbi leo katika Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapo. Kushoto kwake ni Meneja wa Bia ya Serengeti, Rodney Rugambo na mmoja wa waratibu wa tamasha hilo, Sebastian Maganga . Fiesta ya mwaka huu inadhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) kupitia bia yake ya Serengeti Premium Lager....
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
PICHA: Safari ya mwisho ya marehemu Adam kuambiana ilivyokuwa leo viwanja vya leaders Dar es salaam
Pumzika kwa Amani Adam Kuambiana.