Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA YAMPIGA FAINI MCHEZAJI BERNARD MORRISON KWA KUKIUGA MAADILI KLABUNI


CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Yanga yatangaza kuachana na Niyonzima, yampiga faini Dolla 71,175

Haruna-Niyonzima11

Na Rabi Hume, Modewjiblog

Klabu ya Yanga ya jijini Dar es Salaam imetangaza kuachana na kiungo wa kimataifa wa Rwanda, Haruna Niyonzima (pichani) kutokana na mchezaji huyo kuvunja masharti ya mkataba na kuwa na utovu wa nidhamu.

Akitangaza uamuzi huo, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Yanga, Jerry Muro alisema Niyonzima ameshindwa kufuata makubaliano ya mkataba aliyowekeana na klabu hiyo kwa kuvunja kanuni za mkataba alioingia na Yanga.

Muro alisema kuwa Niyonzima amekuwa na tabia ya...

 

5 years ago

CCM Blog

BERNARD MORRISON ATUA JANGWANI

  Hatimaye kiungo wa Yanga, Bernard Morrison amefika makau makuu ya klabu hiyo leo na kufanya mazungumzo na Kaimu Katibu Mkuu, Wakili Simon Patrick.

 

5 years ago

BBCSwahili

Bernard Membe: CCM yamfukuza mwanachama wake mwandamizi kwa 'makosa ya maadili'

Bernard Membe ni waziri wa zamani wa Mambo ya Nje nchini Tanzania.

 

5 years ago

The Citizen Daily

Morrison glows as Yanga down Simba

Morrison glows as Yanga down Simba  The Citizen DailyKariakoo Derby: Yanga SC keeper Mnata was the difference against Simba SC – Bocco  Goal.comSimba fans break down after their teams loss to bitter rivals Yanga - VIDEO  Nairobi NewsSIMBA Vs YANGA: Big guns lock horns  The Citizen DailyKariakoo Derby: Morrison the hero as Yanga SC down Simba SC  Goal.comView Full coverage on Google News

 

5 years ago

Michuzi

SINEMA YA YANGA NA MORRISON YAANZA UPYA



Yassir Simba, Michuzi Tv Sakata la mchezaji wa Young Africans raia wa Ghana,Bernard Morrison limechukua sura mpya ambapo kupitia nakala iliyotolewa na kaimu katibu mkuu wa klabu ya Yanga Wakili Simon Patrick leo tarehe 24/06/2020  klabu ya Yanga imeamua kumkata kiasi cha shillingi 1,500,000 pesa taslimu ya kitanzania  mchezaji huyo kutokana na kile kinachdaiwa na klabu hiyo kuwa mchezaji huyo alifanya mahojiano na chombo cha habari bila kufuata utaratibu uliowekwa na kabu.
Katika siku hizi...

 

5 years ago

Michuzi

YANGA WATINGA BUNGENI BILA MSHAMBULIAJI NYOTA MORRISON....SPIKA NDUGAI AWAULIZA YUKO WAPO?

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
KIKOSI cha wachezaji wa timu ya Yanga pamoja a viongozi wao leo Juni 15,2020 wametinga Bungeni ambapo shagwe ziliibuka wakati wakisalimia huku Spika Job Ndugai akiuliza alipo mshambuli mahiri wa timu hiyo Benard Morrison.

Morrison ni yule mchezaji ambaye amejizolea umaarufu tangu alipofanikisha kufunga bao moja dhidi ya watani wao wa jadi Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo Yanga waliibuka na ushindi.Juzi wakati Waziri wa Fedha na Mipango...

 

11 years ago

GPL

Yanga yampiga stop Pluijm kupanda ndege

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm.
Na Sweetbert Lukonge
WAKATI harakati za usajili wa wachezaji kwa timu za ligi kuu zikianza kupamba moto, uongozi wa Yanga umempiga ‘stop’ kocha  wake mkuu raia wa Uholanzi, Hans van Der Pluijm, kurejea kwao.
Imedaiwa kuwa sababu kubwa ya uongozi huo kufanya hivyo ni kumtaka kocha huyo ashiriki kikamilifu katika zoezi zima la usajili. Uongozi umesema kama kocha huyo...

 

10 years ago

Michuzi

Klabu ya Kimondo Super Sports yaijia juu yanga kwa usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya

Klabu ya Kimondo Super Sports inayoshiriki ligi daraja la kwanza Tanzania yenye maskani yake wilayani Mbozi mkoani Mbeya inapenda kutoa tamko juu ya mkanganganyiko wa taarifa za kuptosha za usajili wa mchezaji wake Geofrey Bahati Mwashiuya.


Klabu inasikitishwa saana na habari/taarifa zenye mkanganyiko zinazotolewa na msemaji wa timu ya Yanga,Katibu wa timu ya Yanga na mchezaji wetu Geofrey Mwashiuya katika vyombo mbalimbali vya habari;

Jerry Muro alisikika katika vyombo vya habari akijinadi...

 

10 years ago

Vijimambo

MCHEZAJI EMERSON ALIYELETWA YANGA KWA MAJARIBIO HAJAWAHI CHEZA HATA MECHI MOJA KWENYE TIMU YAKE YA ZAMANI

 Huyu ndie mchezaji mpya wa Yanga, Emerson de Oliveira Neves Roque aliyeletwa na kocha Mbrazili wa Marcio Maximo kufanyiwa majaribio ili azibe pengo la Jaja. Roque, kwa muji wa taarifa za mtandao wa Int.Soccerway.com hajacheza hata mechi moja katika timu yake ambayo imemsajili kama mlinzi lakini huku analetwa kujaribiwa nafasi ya kiungo.



Timu anayochezea ya Bonsucesso FC inashika nafasi ya 13 na imeshinda michezo mitatu na kupoteza michezo 6 na kutoka suluhu michezo 6.

Habari kwa hisani ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani