SINEMA YA YANGA NA MORRISON YAANZA UPYA
![](https://1.bp.blogspot.com/-TFllIJcG3bc/XvMWQVUjpBI/AAAAAAAEH_k/zyG69FuhukM1mYA-wBlO1ggHrewiUsgigCLcBGAsYHQ/s72-c/Yangaapic.jpg)
Yassir Simba, Michuzi Tv Sakata la mchezaji wa Young Africans raia wa Ghana,Bernard Morrison limechukua sura mpya ambapo kupitia nakala iliyotolewa na kaimu katibu mkuu wa klabu ya Yanga Wakili Simon Patrick leo tarehe 24/06/2020 klabu ya Yanga imeamua kumkata kiasi cha shillingi 1,500,000 pesa taslimu ya kitanzania mchezaji huyo kutokana na kile kinachdaiwa na klabu hiyo kuwa mchezaji huyo alifanya mahojiano na chombo cha habari bila kufuata utaratibu uliowekwa na kabu.
Katika siku hizi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
The Citizen Daily11 Mar
Morrison glows as Yanga down Simba
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-qNRWiEacmYM/XvMgLggarQI/AAAAAAABMkw/tjR8Sd3eEoM0VijBZNarfRIqtJzU_5gHwCLcBGAsYHQ/s72-c/EbQPn94XsAYjjXj.jpeg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-B_IA9nCTFcs/Xufa5W6VyUI/AAAAAAALt8c/i8v0naWjiJ0AjHJAY4G_P0AwQWZP-kjnACLcBGAsYHQ/s72-c/WhatsApp%2BImage%2B2020-06-15%2Bat%2B8.11.17%2BPM.jpeg)
YANGA WATINGA BUNGENI BILA MSHAMBULIAJI NYOTA MORRISON....SPIKA NDUGAI AWAULIZA YUKO WAPO?
KIKOSI cha wachezaji wa timu ya Yanga pamoja a viongozi wao leo Juni 15,2020 wametinga Bungeni ambapo shagwe ziliibuka wakati wakisalimia huku Spika Job Ndugai akiuliza alipo mshambuli mahiri wa timu hiyo Benard Morrison.
Morrison ni yule mchezaji ambaye amejizolea umaarufu tangu alipofanikisha kufunga bao moja dhidi ya watani wao wa jadi Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo Yanga waliibuka na ushindi.Juzi wakati Waziri wa Fedha na Mipango...
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Israel yaanza mashambulizi upya Gaza
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-E_8F0wDWbXI/VgAxbOYZ4MI/AAAAAAAH6kY/3Pcu5R4J0Ek/s72-c/michuz_041.jpg)
UONGOZI MPYA WA KAMATI YA MISS TANZANIA YAANZA KUSAKA UPYA MAWAKALA WA MIKOA
![](http://3.bp.blogspot.com/-E_8F0wDWbXI/VgAxbOYZ4MI/AAAAAAAH6kY/3Pcu5R4J0Ek/s640/michuz_041.jpg)
--------------------------------------------------------------Kamati ya Miss Tanzania...
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/09/SIMBA-1.jpg?width=650)
10 years ago
Mwananchi24 Dec
Katibu mkuu Yanga kupitia upya anza na mikataba ya udhamini
10 years ago
Vijimambo09 Jun
Kazi ya kuliwinda kombe la Kagame yaanza Yanga
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/06/kikosi-cha-Yanga_Machi-2015-Confederation-Cup.jpg)
MABINGWA wa kandanda Tanzania bara, Young Africans kesho wanatarajia kuanza maandalizi ya ligi kuu msimu ujao pamoja na kombe la Kagame linalotarajia kuanza kutimua vumbi jijini Dar es salaam Julai 11 mwaka huu.Katibu mkuu wa Yanga, Dr. Jonas Tiboroha amesema mazoezi hayo yatakuwa yanafanyika uwanja wa Karume, Ilala, Dar es salaam chini ya kocha mkuu, Mholanzi, Hans van der Pluijm aliyetua Dar usiku wa kuamkia leo akitokea kwake nchini Ghana.
“Kazi imeanza, kesho asubuhi mazoezi ya kwanza...