Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Morrison glows as Yanga down Simba

Morrison glows as Yanga down Simba  The Citizen DailyKariakoo Derby: Yanga SC keeper Mnata was the difference against Simba SC – Bocco  Goal.comSimba fans break down after their teams loss to bitter rivals Yanga - VIDEO  Nairobi NewsSIMBA Vs YANGA: Big guns lock horns  The Citizen DailyKariakoo Derby: Morrison the hero as Yanga SC down Simba SC  Goal.comView Full coverage on Google News

The Citizen Daily

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

SINEMA YA YANGA NA MORRISON YAANZA UPYA



Yassir Simba, Michuzi Tv Sakata la mchezaji wa Young Africans raia wa Ghana,Bernard Morrison limechukua sura mpya ambapo kupitia nakala iliyotolewa na kaimu katibu mkuu wa klabu ya Yanga Wakili Simon Patrick leo tarehe 24/06/2020  klabu ya Yanga imeamua kumkata kiasi cha shillingi 1,500,000 pesa taslimu ya kitanzania  mchezaji huyo kutokana na kile kinachdaiwa na klabu hiyo kuwa mchezaji huyo alifanya mahojiano na chombo cha habari bila kufuata utaratibu uliowekwa na kabu.
Katika siku hizi...

 

5 years ago

Michuzi

YANGA WATINGA BUNGENI BILA MSHAMBULIAJI NYOTA MORRISON....SPIKA NDUGAI AWAULIZA YUKO WAPO?

Na Said Mwishehe, Michuzi TV.
KIKOSI cha wachezaji wa timu ya Yanga pamoja a viongozi wao leo Juni 15,2020 wametinga Bungeni ambapo shagwe ziliibuka wakati wakisalimia huku Spika Job Ndugai akiuliza alipo mshambuli mahiri wa timu hiyo Benard Morrison.

Morrison ni yule mchezaji ambaye amejizolea umaarufu tangu alipofanikisha kufunga bao moja dhidi ya watani wao wa jadi Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambapo Yanga waliibuka na ushindi.Juzi wakati Waziri wa Fedha na Mipango...

 

10 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

TheCitizen

10 years ago

Vijimambo

AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0

 Timu ya Yanga imeendeleza uteja tena leo katika mchezo wa wahasimu hao uliochezwa uwanja wa taifa leo baada ya timu ya Simba kuibamiza Yanga goli 1 bila majibu goli lililofungwa na Emmanuel Okwi mchezaji aliyeikimbia timu hiyo yenye masikani yake Jangwani katika dakika ya 52. Wachezaji wa Simba na Yanga wakiwa katika mpambano.Mchezaji Simon Msuva akijaribu kufanya mashambulizi goli mwa Simba shuti lake halikuweza kuleta madhara yeyote mpaka dakika 90 Simba 1 na Yanga 0. Picha kwa hisani ya...

 

9 years ago

Vijimambo

YANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!

Yanga ni zaidi ya Mcharo Simba wametepweta baada ya kukubali goli moja kila kipindi alikuwa Tambwe aliandika bao la kwanza dk ya 44 ya kipindi cha kwanza, ikumbukwe kuwa Tambwe alikuwa kipenzi cha wana msimbazi hao na wakampotezea na kunyakuliwa na Yanga. Kipindi cha pili Busungu aliesajiliwa kutoka kwa wafunga buti wa mgambo aliiandikia Yanga bao la 2 dk ya 79. Yanga sasa imefuta uteja uliodumu zaidi ya miaka 5 kila wanavyo kutana na Simbanilikuwa ni kilio tu cha kusanga meno safari hii ni...

 

11 years ago

Mwananchi

KAMPENI SIMBA: Wagombea Simba waijadili Yanga

>Wagombea wa nafasi za urais katika uchaguzi mkuu wa Simba, Andrew Tupa na Evans Aveva wamesema wanachukizwa na uwepo wa makundi katika klabu hiyo pamoja na mafanikio ya watani zao Yanga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani