Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NESI ANASWA!

Stori: OFM YA GLOBAL PUBLISHERS
MARA nyingi manesi wamekuwa wakishiriki katika matukio mbalimbali ya kuua watoto wachanga na kutegemea kulipwa ujira kutokana na kazi hiyo. Nesi Maria (kushoto) mara baada ya kunaswa na OFM. Matukio mengi ya aina hiyo yamekuwa hayaripotiwi kutokana na usiri wa wahusika kutaka mambo yao yasiwekwe hadharani lakini Oparesheni Fichua Maovu (OFM), inaendelea kufichua unyama huo na kuumwaga...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Nesi wa Ebola alalama alivyotengwa

Muuguzi aliyetengwa aliporejea nchini Marekani baada ya kuwatibu wagonjwa wa ebola nchini Sierra Leone amelalamikia .

 

10 years ago

GPL

NESI ADAI KUFA MARA 2

Stori: Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata
NI JAMBO LA AJABU! Nesi aliyefahamika kwa jina la Amina Mganda (27), (pichani) mkazi wa Mbezi Maramba Mawili  jijini Dar es Salaam, yupo katika mateso mazito yanayomfanya atamani kujiua na kudai kuwa ameugua na kupelekwa chumba cha maiti mara mbili baada ya kudhaniwa kuwa amefariki dunia. Nesi Amina Mganda (27) anayedai kufa mara mbili. Akizungumza na gazeti hili nyumbani kwao...

 

10 years ago

GPL

NESI MUHIMBILI AKATWA MIGUU

Flora Nathaniel Shayo (60) mkazi wa Chanika, wilayani Ilala, Dar ameiomba serikali pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete imsaidie baada ya kukatwa miguu kutokana na kuugua ugonjwa wa kisukari. Flora Nathaniel Shayo akatwa miguu baada ya kuugua kisukari. ILIKUWAJE?
Akizungumza na waandishi wetu hivi karibuni, Flora alisema aliwahi kuwa muuguzi (nesi) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa miaka 26 iliyopita na baada ya...

 

10 years ago

Vijimambo

Nesi wa Ebola alalama alivyotengwa-BBC


Muuguzi aliyetengwa aliporejea nchini Marekani baada ya kuwatibu wagonjwa wa ebola nchini Sierra Leone amelalamikia jinsi alivyohudumiwa.

Sheria mpya zilizotangazwa na majimbo matatu nchini Marekani yakiwemo New York , New Jersey na Illinois zinamaanisha kuwa kila mtu anayerejea kutoka nchi yoyote ya Afrika magharibi iliyoathirika na ugonjwa wa ebola, na huenda amekaribiana na wale walio na ugonjwa huo ni lazima awekwe kwenye karantini kwa muda wa wiki tatu

Kaci Hickox anasema kuwa hali...

 

10 years ago

Vijimambo

NESI WA EBOLA ALIYEWEKEWA KARANTINI KUFIKISHWA MAHAKAMANI

Nurse Kaci Hickox rides away from the home she is staying in on a rural road in Fort Kent, Maine, to take a bike ride, Thursday, Oct. 30, 2014. Hickox went on an hour-long ride with her boyfriend Ted Wilbur, followed by state police who were monitoring her movements and public interactions.Nesi Kaci Hickox akiendesha baiskeli baada ya kuvunja karatini aliyowekewa wakati akiwa kwenye uchunguzi wa Ebola baada ya kurudi toka Afrika Magharibi alipokua akiwatibu wagonjwa wa Ebola
Mamlaka ya afya mji wa Fort Kent, Maine uliopo mpakani wa Canada wamesema watamfikisha mahakamani Nesi Kaci Hickox baada ya kuvunja karantini siku ya Alhamisi Oktoba 30, 2014 kwa kutoka nje ya nyumba yake na kuendesha baiskeli takribani saa moja.
Nesi Kaci Hickox aliwekewa karantini hiyo baada ya kurudi toka...

 

10 years ago

Mwananchi

Nesi amchapa mjamzito ‘leba’, kitoto chafariki

Muuguzi mmoja wa Kituo cha Afya cha Muungano kilichoko wilayani Chamwino anatuhumiwa kumchapa viboko mma mjamzito aliyekwenda kujifungua na kusababisha mtoto afie tumboni.

 

10 years ago

Mwananchi

Nesi atekwa Dar, watekaji wataka Sh5 mil

Watu wasiojulikana wamemteka Muuguzi wa Hospitali ya Mwananyamala, Pili Amiri, huku wakitoa sharti la kupewa Sh5 milioni ili wamuache huru.

 

11 years ago

GPL

MAMA AJIFANYA NESI, AAJIRIWA HOSPITALINI KWA MUDA MREFU, ADAKWA!

Stori: Brighton Masalu na Andrew Carlos Hatari sana! Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Joyce Jonas, mwenye umri unaokadiriwa kuwa kati ya miaka 45 na 50, mkazi wa Tabata, Dar, ametiwa mbaroni kwa madai ya kughushi vyeti vya unesi kisha kufanya kazi ya uuguzi katika hospitali mbalimbali, akijishughulisha na upasuaji bila kuwa na utaalamu wa taaluma hiyo. Mwanamke aliyetambulika kwa jina la Joyce Jonas ametiwa mbaroni kwa madai...

 

10 years ago

Vijimambo

NESI WA EBOLA APONA NA AKUTANA NA KUMPA HAGI RAIS OBAMA KABLA YA KURUDI NYUMBANI

Mmoja wa manesi waliopata Ebola wakati akimuuguza mgonjwa wa Ebola Thomas Eric Duncan aliyepata wakati akitokea Liberia. Nesi Nina Pham leo Ijumaa Oct 24, 2014 ameruhusiwa kutoka hospitali NIH alipokua amelazwa baada ya kupona virusi vya Ebola. Nesi Nina baadae yeye na familia yake walipitia Ikulu kukutana na Rais Barack Obama kabla ya kuondoka na kuelekea Texas kwenda kuungana na ndugu, jamaa na marafiki.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani