NESI MUHIMBILI AKATWA MIGUU
![](http://api.ning.com:80/files/Ha*i6Zw5RmoznAo5-5erSbuIY4QIOal3kMqZnCUrftMKz1YWlEA*pgc84qHGe1vu1W40YJbC*I0aduN6uXS2d2tTupPOgeZo/nesi.jpg?width=650)
Flora Nathaniel Shayo (60) mkazi wa Chanika, wilayani Ilala, Dar ameiomba serikali pamoja na Rais Jakaya Mrisho Kikwete imsaidie baada ya kukatwa miguu kutokana na kuugua ugonjwa wa kisukari. Flora Nathaniel Shayo akatwa miguu baada ya kuugua kisukari. ILIKUWAJE? Akizungumza na waandishi wetu hivi karibuni, Flora alisema aliwahi kuwa muuguzi (nesi) katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa miaka 26 iliyopita na baada ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuziupdates za dada Joyce Richard Mwambepo wa mbeya aliyelazwa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuvunjika miguu ajalini
Dada Joyce alipowasili Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wiki iliyopita
Ndugu Wasamaria Wema,
Tunapenda kutumia fursa hii kuwashirikisha tena habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Rishard Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye wa miaka 4, na miguu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa miaka 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na huyo mwanaye wa miaka 4.Kwa bahati mbaya mwezi...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/sTg6vyO*vvGIiOyUsaR-UGxFZEYaqfwJ1m76dMaQ6LC9-zjN5izHX9UsTGlh5kf*S5GcRtY-AeyNyRQMMBzBX4NJPjCiyHyz/ofm.jpg?width=650)
NESI ANASWA!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iiq-5qTP3-kIjUtL9ukowqQvbgvssSDNWG29hLdexsw4fzlYeoyjI-zrbqzk2xP1sjTtbnzO3IhPvTUI8Sw-PsgizwbrnR7V/Nesi.jpg)
NESI ADAI KUFA MARA 2
10 years ago
BBCSwahili26 Oct
Nesi wa Ebola alalama alivyotengwa
10 years ago
Vijimambo26 Oct
Nesi wa Ebola alalama alivyotengwa-BBC
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/625/amz/worldservice/live/assets/images/2014/10/07/141007152912_nurse_ebola_spain_512x288_reuters.jpg)
Muuguzi aliyetengwa aliporejea nchini Marekani baada ya kuwatibu wagonjwa wa ebola nchini Sierra Leone amelalamikia jinsi alivyohudumiwa.
Sheria mpya zilizotangazwa na majimbo matatu nchini Marekani yakiwemo New York , New Jersey na Illinois zinamaanisha kuwa kila mtu anayerejea kutoka nchi yoyote ya Afrika magharibi iliyoathirika na ugonjwa wa ebola, na huenda amekaribiana na wale walio na ugonjwa huo ni lazima awekwe kwenye karantini kwa muda wa wiki tatu
Kaci Hickox anasema kuwa hali...
10 years ago
Mwananchi25 Apr
Nesi amchapa mjamzito ‘leba’, kitoto chafariki
10 years ago
Vijimambo31 Oct
NESI WA EBOLA ALIYEWEKEWA KARANTINI KUFIKISHWA MAHAKAMANI
![Nurse Kaci Hickox rides away from the home she is staying in on a rural road in Fort Kent, Maine, to take a bike ride, Thursday, Oct. 30, 2014. Hickox went on an hour-long ride with her boyfriend Ted Wilbur, followed by state police who were monitoring her movements and public interactions.](http://www.theday.com/apps/pbcsi.dll/storyimage/NL/20141030/NWS13/141039991/AR/0/AR-141039991.jpg)
Mamlaka ya afya mji wa Fort Kent, Maine uliopo mpakani wa Canada wamesema watamfikisha mahakamani Nesi Kaci Hickox baada ya kuvunja karantini siku ya Alhamisi Oktoba 30, 2014 kwa kutoka nje ya nyumba yake na kuendesha baiskeli takribani saa moja.
Nesi Kaci Hickox aliwekewa karantini hiyo baada ya kurudi toka...
10 years ago
Mwananchi17 Mar
Nesi atekwa Dar, watekaji wataka Sh5 mil
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KfEqIWZTt62Er3zqP2rhc9vlaMPNWHYCTumDHuD5nvrDgx7rtHyBYrUFBt1lLXEYBS5UYNbQVLvenA*-CSQnSqJE5FeEy8rJ/mama.jpg?width=650)
MAMA AJIFANYA NESI, AAJIRIWA HOSPITALINI KWA MUDA MREFU, ADAKWA!