Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: Rama Dee — Usihofie Wachaga

Wimbo mpya kutoka kwa mkali wa RnB nchini, Rama Dee uitwao, ‘Usihofie Wachaga’. Wimbo huu umetayarishwa na Elly Da Bway aliyetengeneza wimbo wake ‘Kama Huwezi’ aliomshirikisha Lady Jaydee. Akizungumzia maana ya wimbo wake huo mpya, Rama amedai kuwa unahusiana na ile imani iliyojengeka kwa baadhi ya wanaume wa Tanzania kuwa wanawake wa kichaga wanapenda pesa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

New Music: Navy Kenzo Ft Young Dee — Viza

Wimbo mpya kutoka kwa Navy Kenzo wakimshirikisha Young Dee wimbo unaitwa “Viza” Producer Nahreel

 

10 years ago

Bongo5

New Music: Young Dee Ft Jux — Siyo Mchoyo

Wimbo mpya kutoka kwa Young Dee akimshirikisha Jux ngoma inaitwa “Siyo Mchoyo” Producer Rash Don

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW MUSIC: NAKAAYA - SISTA SISTA ft. LADY JAY DEE (Download)



" I wrote this record in 2009 alongside an artist that i had looked up to, whom later on became a dear friend @jidejaydee It was produced by @dunga_santury_trinity at Fishcrab studios. The idea behind the song was an artistic idea of two close friends/ sistas dating the same man, and the expression of the frustration that comes with it.  we had a great time creating #sistasista" - NAKAAYA


Africanjam is website that came into service December 2013(with another domain) and on April 2014 the...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Nakaaya Ft Lady Jay Dee – Sista Sista

artist_85e17a792a137725bd638accbd98ec0249.jpg

Sikiliza hapa wimbo unaitwa “Sista Sista” kutoka kwa msanii Nakaaya amemshirikisha Lady Jay Dee,Studio Mandugu Digito.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Music: Young Dee — Ujanja Ujanja

Rapper Young Dee baada ya kuacha video ya wimbo mpya wa “Ujanja Ujanja” hii ni Audio Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

Mwananchi

Wachaga wa Kilema na mila ya kufukua maiti

Ni jambo linaloweza kuwa geni kidogo kwa baadhi ya makabila, lakini kwa baadhi ya Wachaga wa Kilema mkoani Kilimanjaro kuna mila ambazo kwa makabila na jamii nyingine zinaweza kuwa za kushangaza.

 

10 years ago

Vijimambo

Wachaga Wamegawanyika Kama ifuatavyo, Sio Wote ni Wajanja!


Wachaga wamegawanyika kama ifuatavyo, sio wote wajanja. Kuna:-1. Warombo wajanja sana kibiashara/wezi pia, wameajiri Wamarangu mjini ni walevi sana hupeleka wake zao vijijini wakileta kiburi mjini. Wanawake zao ni mama Huruma, wanaachia tu.. Ukioa mrombo ujue umeolea kijiji.
2. Kuna Wamarangu wazuri sana wa sura na umbo wanawachuna Warombo. Wanawake wana dharau sana na wanaume ni waoga kuliko wanawake. Mwanaume wa Marangu kupigwa na mkewe si jambo la ajabu.
3. Kuna Wakibosho wanafanana na...

 

10 years ago

Michuzi

Life at National Service camp By Rama Bhikhabhai

File photo of National Service recruits
at camp - not related to the article My parents had migrated from British India to Tanganyika Territory in 1947. I was born in Dar-es-salaam. Then it was a cultural norm among the Indian society to educate their girls till primary education for 8 years only. As I was very much interested in studying further, I was allowed to go to Indian girls’ secondary school for additional four years to achieve Cambridge School certificate.Tanganyika became...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani