Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music Video: Beyoncé — 7/11

Alitusurprise kwa kuachia album mpya yenye jina lake mwaka jana, na sasa Beyonce amefanya tena kwa kuachia video ya ngoma yake ‘7/11′ bila hata kutoa taarifa na tayari imekuwa gumzo. Jionee mwenye video hiyo hapo juu.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Music: Drake Feat. Beyoncé — Can I

Rapper Drake ametoa single yake mpya aliyofanya na Beyonce. Wimbo unaitwa “Can I,” uliwahi kuvuja ila ulikuwa demo tu sikiliza hapa. Drake na Beyonce waliwahi kusikika kwenye wimbo wa “Mine” ambao ulikuwa katika album ya Beyoncé ya mwaka 2013. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote […]

 

9 years ago

Bongo5

Beyoncé afunga mitaa ya New Orleans kushoot video mpya

beyonce-jpeg

Ni miaka miwili sasa tangu Beyoncé atoe albamu ya kushtukiza na dunia nzima kupagawa.

beyonce-jpeg

Lakini huenda Queen B akawa na surprise nyingine kubwa.

Kwasababu malkia huyo alikodi uwanja wa Mercedes-Benz Superdome huko New Orleans kwa kushoot video mpya Jumanne hii. Aliingia kwenye uwanja huo akiwa na mume wake Jay Z.

Beyoncé's dancers on the set of her new video. #SuperDome #NOLA pic.twitter.com/8yPBoCX0Pl

— BEYONCÉ LEGION (@Bey_Legion) December 23, 2015

Haijulikani hasa nini alichoshoot lakini...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mamake Beyoncé Knowles,Tina 61, aolewa

Mamake Beyonce Knowles,Tina 61,ameolewa kwa mara ya pili kwa mchumba wake Richard Lawson.

 

5 years ago

Africanjam.Com

VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ ft. RAYVANNY - SALOME | Traditional Official Music Video |



Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

5 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ ft. P-SQUARE - KIDOGO | Official Music Video |



Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into service. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening...

 

10 years ago

Bongo5

New Music Video: Desire Luzinda aachia video mpya ‘Ekitone’

Muimbaji wa Uganda Desire Luzinda ameachia video mpya ya wimbo wake uitwao ‘Ekitone’, ikiwa ni ishara sasa amerejea katika maisha yake ya kawaida na kazi zake za muziki zinaendelea baada ya kutikiswa na kashfa ya kuvuja kwa picha zake za utupu hivi karibuni. Luzinda ameshare video hiyo kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika “EKITONE […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani