Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: Jeff Maximum — Mama Africa

Jeff

Mwanamuziki anayefanya kazi zake nchini Marekani na Dubai Jeff Maximum tayari ameshaachia video ya wimbo wake mpya “Mama Afrika” ambayo ilitayarishwa Bagamoyo hapa nchini mwezi mmoja uliopita.

Video hiyo iliyoachiwa Novemba 2 tayari imeshaanza kuonekana katika vituo mbalimbali vya televisheni Afrika ikiwemo nchini Dubai, Nigeria, Afrika Kusini, Kongo, Ghana na nchini Uingereza, huku ikitangaza utalii wa Tanzania .

Akizungumza Jeff alisema aliamua kuitayarishia video hiyo nchini Tanzania...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Msanii wa Tanzania aishiye Dubai, Jeff Maximum aja Dar kushoot video ya ‘Mama Africa’

Msanii wa Tanzania aliyehamishia makazi yake Dubai, Jeff Maximum ameamua kurejea nyumbani kushoot video ya wimbo wake mpya, Mama Africa. Alianza muziki akiwa Tanzania miaka 18 iliyopita kabla ya kuhamia jijini Los Angeles na hatimaye Dubai. Jeff anayefanya muziki wa R&B, hufanyia kazi zake Marekani, Dubai na Singapore. Hanscana ndiye anayeiongoza video ya wimbo huo. […]

 

9 years ago

Mtanzania

Jeff Maximum akamilisha video ya Mama Afrika

jeff (1)Na Theresia Gasper, Dar es Salaam

MWANAMUZIKI wa R&B anayefanya kazi zake nchini Marekani na Dubai, Jeff Maximum, amekamilisha video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la Mama Afrika ambayo aliitengenezea mjini Bagamoyo.

Video hiyo ambayo ilitoka rasmi mwanzoni mwa mwezi huu, tayari imeanza kuonekana kwenye vituo mbalimbali vya televisheini katika nchi mbalimbali za Afrika, Ulaya na Marekani. “Nilikuja kuitengeneza video hii hapa Tanzania lengo kubwa ikiwa ni kutangaza utalii wetu hapa...

 

9 years ago

Dewji Blog

Jeff aachia video ya wimbo wake mpya wa “Mama Afrika” unaotangaza utalii wa Tanzania

jeff

Mwanamuziki aliyewahi ishi nchini Tanzania na pia mwenye asili ya Congo, Jeff Maximum ambaye anaishi Ughaibuni katika shughuli zake za Muziki katika pozi ambapo kwa sasa ameachia video ya wimbo wake mpya wa “Mama Afrika” ambao wimbo huo unatangaza Utalii wa Tanzania. 

Na Mwandishi Wetu

Mwanamuziki anayefanya kazi zake nchini Marekani na Dubai, Jeff Maximum tayari ameshaachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Mama Afrika” ambao umetayarishwa Bagamoyo  Nchini Tanzania hivi karibuni.

Kwa mujibu...

 

9 years ago

Bongo5

#TecnoOwnTheStage: Jeff wa Tanzania atolewa (Video)

Tecno

Tanzania imeendelea kuwa vibonde kwenye shindano la Tecno Own The Stage linaloendelea nchini Nigeria baada ya mshiriki wa tatu kuyaaga mashindano hayo.

Awamu hii ni Jeff ndiye aliyeyaaga mashindano hayo baada ya kushindwa kuwaridhisha majaji watatu wa shindano hilo.

Kenya bado ina washiriki wote watano walioingia. Tanzania na Nigeria zimebakiza washiriki wawili kila moja.

Hata hivyo mshiriki wa Tanzania, Nandy ndiye ameendelea kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania kwa kuwakosha watazamaji...

 

10 years ago

Africanjam.Com

EL CHAPO ESCAPES MAXIMUM SECURITY PRISON AGAIN


(MEXICO CITY)—Top drug lord Joaquin “El Chapo” Guzman escaped through a 1.5-kilometer (1 mile) tunnel that opened into the shower area of his cell, Mexico’s top security official announced Sunday.
With the elaborate escape hatch built allegedly without the detection of authorities, Guzman has done what Mexican authorities promised would not happen after his re-capture last year — slipped out of a maximum security prison for the second time.Eighteen employees from various part of the Altiplano...

 

5 years ago

The Guardian

Charity clearly doesn’t begin at home for Jeff Bezos

Charity clearly doesn’t begin at home for Jeff Bezos  The GuardianView Full coverage on Google News

 

10 years ago

Vijimambo

JEFF AKUTANA NA WADAU MBALIMBALI DAR WALIOMFARIJI

 Jeff akiwa na wadau waliowahiishi Maryland nchiniMarekani George Mwaswaliba (kushoto) na Mosi (kulia) walipokutana nae wakati wa kipindi cha msiba wa mpendwa mama yake Dar es Salaam.. Jeff akiwa na Ronnie Maganga jiji Dar es Salaam Jeff akiwa na mama MagangaJeff akiwa nyumbani kwa Brigedia Jenerali Maganga siku walipomwandalia chakula cha jioni kwa ajili ya kumfariji kwa msiba wa mpendwa mama yake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani