Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Video: J’odie — Right Now

Hii ni video mpya kutoka kwa Star wa Nigeria aliyefanya vizuri kwenye chati kubwa Afrika na Hits Single yake ya Kuchi Kuchi, J’odie kutoka Nigeria ametoa wimbo mpya unaitwa ‘Right Now’.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Video: J’odie — Butterflies

Jodie wimbo

J’odie kutoka Nigeria ameachia video mpya ‘butterflies’ ikiwa ni siku chache toka afunge ndoa na mume wake David Nnaji.Audio ya wimbo huu ilitoka mwezi April mwaka huu.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Picha: J’odie (mwimbaji wa Kuchi Kuchi) afunga ndoa na meneja wake

Hit maker wa ‘Kuchi Kuchi (oh Baby), J’odie kutoka Nigeria amefunga ndoa na meneja wake David Nnaji ambaye pia ni mwigizaji wa Nollywood.

Ndoa yao ya kimila ilifungwa weekend iliyopita Oct.31, na sherehe kuhudhuriwa na watu wachache wakiwemo wana familia huko Nigeria.

J’odie ambaye jina lake halisi ni Joy Odiete alivishwa pete ya uchumba mwishoni mwa mwezi September na Nnaji, ambaye ni CEO wa label ya Dun Entertainment ambayo ndio ilisimamia album yake ya kwanza ‘African Woman’ iliyotoka...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mwimbaji wa ‘Kuchi Kuchi’, J’odie wa Nigeria avishwa pete ya uchumba

Mwimbaji wa ‘Kuchi Kuchi’, wimbo uliopata umaarufu mkubwa Tanzania miaka michache iliyopita, Jodie kutoka Nigeria amechumbiwa. Kupitia Instagram, J’odie alishare picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mume wake mtarajiwa David Nnaji ambaye pia ni boss wake. Nnaji ni CEO wa label ya Dun Entertainment ambayo ndio ilisimamia album ya kwanza ya J’odie, ‘African […]

 

10 years ago

Bongo5

‘Nitabaki bikra hadi nitakapoolewa’ — J’odie wa kuchi kuchi

Muimbaji wa Nigeria, Joy Odiete maarufu kwa jina la J’odie aliyehit na wimbo wake ‘Kuchi Kuchi’, ameweka wazi kuwa yeye bado hajachakachuliwa ni bikra, na yupo tayari kusubiri hadi pale atakaposema ‘I do’ kwa yule atakayekuwa mume wake. J’odie ambaye amekulia kwenye familia ya dini amesema hayo katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni na Saturday Sun. […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani