Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Nitabaki bikra hadi nitakapoolewa’ — J’odie wa kuchi kuchi

Muimbaji wa Nigeria, Joy Odiete maarufu kwa jina la J’odie aliyehit na wimbo wake ‘Kuchi Kuchi’, ameweka wazi kuwa yeye bado hajachakachuliwa ni bikra, na yupo tayari kusubiri hadi pale atakaposema ‘I do’ kwa yule atakayekuwa mume wake. J’odie ambaye amekulia kwenye familia ya dini amesema hayo katika mahojiano aliyofanyiwa hivi karibuni na Saturday Sun. […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: J’odie (mwimbaji wa Kuchi Kuchi) afunga ndoa na meneja wake

Hit maker wa ‘Kuchi Kuchi (oh Baby), J’odie kutoka Nigeria amefunga ndoa na meneja wake David Nnaji ambaye pia ni mwigizaji wa Nollywood.

Ndoa yao ya kimila ilifungwa weekend iliyopita Oct.31, na sherehe kuhudhuriwa na watu wachache wakiwemo wana familia huko Nigeria.

J’odie ambaye jina lake halisi ni Joy Odiete alivishwa pete ya uchumba mwishoni mwa mwezi September na Nnaji, ambaye ni CEO wa label ya Dun Entertainment ambayo ndio ilisimamia album yake ya kwanza ‘African Woman’ iliyotoka...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mwimbaji wa ‘Kuchi Kuchi’, J’odie wa Nigeria avishwa pete ya uchumba

Mwimbaji wa ‘Kuchi Kuchi’, wimbo uliopata umaarufu mkubwa Tanzania miaka michache iliyopita, Jodie kutoka Nigeria amechumbiwa. Kupitia Instagram, J’odie alishare picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mume wake mtarajiwa David Nnaji ambaye pia ni boss wake. Nnaji ni CEO wa label ya Dun Entertainment ambayo ndio ilisimamia album ya kwanza ya J’odie, ‘African […]

 

10 years ago

GPL

MWIMBAJI WA ‘KUCHI KUCHI’ ATOA SABABU YA UKIMYA WAKE

Mwimbaji wa kike wa Nigeria, J’Ordie. MWIMBAJI wa kike wa Nigeria, J’Ordie alipotoa wimbo wa ‘Kuchi Kuchi’ ambao unafanana na nyimbo za Kihindi, wapenda burdani wengi nchini humo walijua wamepata staili mpya ya nyimbo katika tasnia hiyo, lakini wakati wakifikiri kwamba mwimbaji huyo angezidi kutoa nyimbo nyingine, alipotelea katika ukimya. Wakati mashabiki wakijiuliza kilichotokea, mwimbaji huyo mrembo...

 

9 years ago

GPL

JODIE WA ‘KUCHI KUCHI’ MJAMZITO?

Staa wa Ngoma ya Kuchi Kuchi, Jodie. Lagos, Nigeria STAA wa Ngoma ya Kuchi Kuchi, Jodie huenda mjamzito wa miezi nane kutokana na tumbo lake kuonekana kubwa kwa kipindi cha hivi karibuni. Katika kusherehekea ndoa yake ya kimila na mumewe ambaye pia ni meneja wake, David Nnaji iliyofanyika hivi karibuni, Jodie alionekana muda wote ni mtu wa kuchoka huku tumbo lake likionesha wazi kuwa anakaribia… ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Amanda McCracken: Mwanamke aliyekuwa na wapenzi wengi lakini akasalia bikra hadi umri wa miaka 41

Mwaka 2013, mwandishi wa Marekani Amanda McCracken alichapisha taarifa katika gazeti la New York times ambayo ilisambaa. Ilikuwa na jina la Je ubikra wangu unaweza kuishi?.

 

10 years ago

BBCSwahili

Nitabaki Real Madrid: Bale

Kiungo wa Real Madrid Gareth Bale ameelezea matarajio yake ya kuendelea kubaki ndani ya klabu hiyo msimu ujao

 

11 years ago

Tanzania Daima

Maestro: Nitabaki kuwa mtiifu Simba

IBRAHIM Masoud ‘Maestro’ aliyekuwa mgombea nafasi ya ujumbe wa Kamati ya Utendaji ya Simba, amesema pamoja na kushindwa katika uchaguzi wa Juni 29, ataendelea kuwa mwanachama mwaminifu na kutoa kila...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: J’odie — Right Now

Hii ni video mpya kutoka kwa Star wa Nigeria aliyefanya vizuri kwenye chati kubwa Afrika na Hits Single yake ya Kuchi Kuchi, J’odie kutoka Nigeria ametoa wimbo mpya unaitwa ‘Right Now’.

 

9 years ago

Bongo5

Video: J’odie — Butterflies

Jodie wimbo

J’odie kutoka Nigeria ameachia video mpya ‘butterflies’ ikiwa ni siku chache toka afunge ndoa na mume wake David Nnaji.Audio ya wimbo huu ilitoka mwezi April mwaka huu.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani