NEWS ALERT: Rais Kikwete ateua Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya 20
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, baada ya kushauriana na Tume ya Utumishi wa Mahakama, amewateua wafuatao kuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzaniakuanzia tarehe 13 Agosti, 2014.
WATUMISHI WA MAHAKAMA
(i) Bw. Penterine Muliisa KENTE, ambaye kabla ya uteuzi alikuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani, Dar es Salaam.
(ii) Bw. Benedict Bartholomew MWINGWA,ambaye kabla ya uteuzi alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu, Dar es...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi01 May
NEWS ALERT: JK ATEUA MAJAJI WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA
Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...
10 years ago
GPLRAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI WAPYA 20 WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA IKULU JIJINI DAR
10 years ago
Dewji Blog15 Aug
Rais Kikwete awaapisha Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania wapya 20 Ikulu Jijini Dar
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Panterine Muliis Kente kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Benedict Bartholomew Mwingwa kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika sherehe zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 15, 2014.
Rais jakaya Mrisho Kikwete akimwapisha Mhe Dkt Eliezer Mbuki Feleshi kuwa Jaji wa mahakama Kuu ya Tanzania katika...
10 years ago
MichuziRAIS KIKWETE AWAAPISHA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU YA TANZANIA WAPYA 20 IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
10 years ago
Michuzi18 Feb
NEWS ALERT: RAIS KIKWETE ATEUA WAKUU WA WILAYA WAPYA 27,WAPYA WAKIWEMO SHABANI KISU,PAUL MAKONDA,FREDRICK MWAKALEBELA
*Atengua uteuzi wa Ma-DC 12, awabadilisha vituo 64, awabakiza 42 kwenye vituo vyao vya zamani.
RAIS Jakaya Kikwete amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya kwa kuwateua Wakuu wapya 27, kuwahamisha vituo vya kazi 64 na wengine 42 amewabakisha kwenye vituo vyao vya kazi vya zamani.
Akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa OWM TAMISEMI leo mchana (Jumatano, Februari 18, 2015) Waziri Mkuu Mizengo Pinda amesema mabadiliko hayo yamesababishwa na kuwepo kwa nafasi wazi 27 ambazo zilitokana...
10 years ago
Dewji Blog11 Dec
Rais Kikwete ateua wasajili wapya Bi. Katarina Revocati Mahakama ya Rufani na Rugalema Kahyoza Mahakama kuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bi. Katarina Tengia Revocati kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani kuanzia tarehe 5 Desemba, 2014. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Desemba 11, 2014 na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue, imesema kabla ya uteuzi huo, Bi. Revocati alikuwa Msajili wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Biashara.
Vilevile katika Taarifa hiyo, Rais Kikwete pia amemteua Bwana Rugalema J. Kahyoza kuwa Msajili wa Mahakama...
10 years ago
Vijimambo01 May
RAIS KIKWETE ATEUA MAJAJI WAWILI WA MAHAKAMA YA RUFAA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, jana Alhamisi, Aprili 30, 2015 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.
Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...
10 years ago
Habarileo15 Aug
Rais ateua Majaji Mahakama Kuu
RAIS Jakaya Kikwete ameteua Majaji 20 wa Mahakama Kuu ya Tanzania kutoka miongoni mwa mawakili wa kujitegemea, watumishi wa vyuo vikuu, Mawakili wa Serikali na taasisi na watumishi wa Mahakama.
10 years ago
Dewji Blog01 May
Rais Kikwete ateua Majaji wawili wa Mahakama ya Rufaa
Rais wa Jamhuri ya Muugano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amewateua Majaji wawili wa Mahakama Kuu ya Tanzania kuwa Majaji wa Mahakama ya Rufani kuanzia Jumamosi iliyopita, Aprili 24, 2015, taarifa iliyotolewa Dar es Salaam, jana, Alhamisi, Aprili 30, 2025 na Ofisi ya Katibu Mkuu Kiongozi (KMK) imesema.
Taarifa hiyo imewataja wajaji hao kuwa ni Jaji Augustine Gherabast Mwarija na Jaji Stella Ester Augustine Mugasha, ambao wote wamekuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania tokea...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10