NEWS UPDATE: WAZIRI KABAKA AMALIZA MGOMO WA MADEREVA
![](http://4.bp.blogspot.com/-w7Jv3K7mKHQ/VSe78L2ZS6I/AAAAAAAHQGk/dKg8wUOo9Oo/s72-c/1.jpg)
Waziri wa Kazi na Ajira, Mh. Gaudencia Kabaka amekutana na uongozi wa juu Madereva wa Vyombo vya Usafirishaji nchini na amefanikiwa kumaliza mgomo wa madereva hao baada ya kutangaza kufuta agizo lililokuwa likiwataka madereva wa mabasi na malori kwenda kusoma tena udereva katika chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT). (picha na Maktaba)
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-E2YFB74mLCA/VSfTSKGxaJI/AAAAAAABK94/FaWw2nU4u7c/s72-c/Waziri-wa-Kazi.jpg)
WAZIRI WA KAZI NA AJIRA AMALIZA MGOMO WA MADEREVA
![](http://4.bp.blogspot.com/-E2YFB74mLCA/VSfTSKGxaJI/AAAAAAABK94/FaWw2nU4u7c/s1600/Waziri-wa-Kazi.jpg)
10 years ago
Dewji Blog04 May
NEWS ALERT!!! Mgomo wa madereva tena hali tete Ubungo na baadhi ya maeneo usafiri kizungumkuti!!
Eneo la Ubungo ambalo kwa sasa mabasi yamegoma abiria wakiwa hawana la kujua nini la kufanya !!!!! taaarifa na picha zaidi zitaendelea kutolewa na mtandao huu ambao upo eneo la tukio!!.
Na Andrew Chale, Modewjiblog
New Alert Mgomo wa madereva Saga! ni kuwa tayari madereva wa mabasi wamegoma tena siku ya leo Mei 4, kutokana na mashiniko mbalimbali ya madai yao kwa Serikali. Hata hivyo hali kwa Ubungo bado ni tete licha ya vulumai ya hapa na pale ikiwemo askari wa usalama barabarani...
10 years ago
Dewji Blog04 May
Breaking News! Madereva ‘wasimama’ nchi washinikiza wakutane na Wazri Mkuu Pinda kumaliza mgomo wao!
Baadhi ya madereva wa mabasi katika stendi kuu ya Mabasi yaendayo Mkoani na nchi jirani Ubungo,wakishangilia wakiwa na mabango yao yenye jumbe : “Mabomu tumeyazoea! Tanzania bila madereva haiwezekani! muda huu wakiwa wamejikusanya wakimsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike kuongea nao kufikia suluhu (Picha na Andrew Chale, Modewji blog).
Na Andrew Chale, Modewji blog
Mgomo wa madereva umeibuka tena leo Mei 4 baada ya mabasi na magari ya mizigo kugoma tena kwa mara ya pili kwa lengo la...
10 years ago
Dewji Blog04 May
Breaking News! Madereva ‘wasimama’ nchini, washinikiza wakutane na Wazri Mkuu Pinda kumaliza mgomo wao!
Baadhi ya madereva wa mabasi katika stendi kuu ya Mabasi yaendayo Mkoani na nchi jirani Ubungo,wakishangilia wakiwa na mabango yao yenye jumbe : “Mabomu tumeyazoea! Tanzania bila madereva haiwezekani! muda huu wakiwa wamejikusanya wakimsubiria Waziri Mkuu Mizengo Pinda afike kuongea nao kufikia suluhu (Picha na Andrew Chale, Modewji blog).
Na Andrew Chale, Modewji blog
Mgomo wa madereva umeibuka tena leo Mei 4 baada ya mabasi na magari ya mizigo kugoma tena kwa mara ya pili kwa lengo la...
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Breaking News!!! Â Mabomu ya Machozi yanarindima muda huu Kituo cha Mabasi Ubungo hali mbaya mgomo wa madereva
Katibu wa Madereva Mboka akiongea na wandishi wa Habari muda huu, kabla ya mabomu hayajarindima
…Mgomo wa Mabasi kuwa endelevu hadi watakapo achiwa viongozi wao wanaoshikiliwa na jeshi la Polisi
Na Andrew Chale wa Modewji blog
Modewji blog ambayo imepiga kambi katika kituo cha Mabasi Ubungo kuanzia majira ya saa 11, alfajiri, ni kuwa tayari baadhi ya viongozi wa madereva wametoa tamko rasmi kuwa mgomo wao huo utaendelea hadi hapo viongozi wao wakuu zaidi ya Sita (6) wanaoshikiliwa na...
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-zgkNptFx19A/Vb71jxUufMI/AAAAAAABTEo/Vn98NeYoA_Y/s72-c/Bwana%2BRashidi%2BSalehe.jpg)
CHAMA CHA MADEREVA KIMETANGAZA MGOMO WA MADEREVA NCHI NZIMA KUANZIA AGOSTI TISA MWAKA HUU.
![](http://3.bp.blogspot.com/-zgkNptFx19A/Vb71jxUufMI/AAAAAAABTEo/Vn98NeYoA_Y/s640/Bwana%2BRashidi%2BSalehe.jpg)
10 years ago
Habarileo12 Apr
Abiria wataabika na mgomo wa madereva
ABIRIA waliolazimika kuanza safari juzi mchana badala ya alfajiri kutoka jijini Dar es Salaam kwenda mikoani, hasa wa mikoa ya mbali wamejikuta wakikabiliana na adha na taabu ya kuchelewa kutoka katika Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo, kutokana na mgomo wa madereva.
10 years ago
GPLMGOMO WA MADEREVA WATIKISA DAR
10 years ago
GPLTASWIRA ZA MGOMO WA MADEREVA MWANZA