Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Next level ya Adam Juma kusaka vipaji vya waigizaji na models Jumamosi hii (October 4)

Kampuni ya Next Level inayomilikiwa na muongozaji wa video wa Tanzania, Adam Juma imeamua kutafuta vipaji vipya vilivyoko mitaani, kwa kuandaa shindano la kusaka vipaji litakalofanyika Jumamosi hii October 4 pale Mzalendo Pub. Vipaji vinavyotafutwa ni pamoja na models, waigizaji pamoja na watangazaji wa TV.

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Mashindano ya Tanzania Movie Talents kutua Dodoma kusaka vipaji Jumamosi ya wiki hii

Untitled

Na Josephat Lukaza wa Proin Promotions Limited – Mwanza

Hatimaye Kikosi Kazi cha Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waratibu na waandaaji wa Mashindano ya Kusaka vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents (TMT) kinaondoka leo asubuhi Mkoani Mwanza Kuelekea Mkoani Dodoma kwaajili ya kuendelea na shindano la kusaka vipaji vya kuigiza katika Kanda ya Kati ambapo mashindano yatafanyika Mkoani Dodoma katika Ukumbi wa African Dream kuanzia Jumamosi ya...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU NZIMA YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAELEKEA MKOANI MWANZA KWAAJILI YA KUANZA ZOEZI LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA

Timu nzima ya Tanzania Movie Talents kutoka kampuni ya Proin Promotions Limited wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza safari ya kuelekea Mwanza kwaajili ya shindano la kutafuta Vipaji vya Uigizaji Tanzania ambapo shindano hili litaanzia katika Kanda ya Ziwa katika Mkoa wa Mwanza Kuanzia tarehe 5 April 2014 mahali ni Isamilo Lodge. Mdau Karimu Muhidin Michuzi na Baadhi ya vijana wa kazi katika timu ya kusaka vipaji wakiwa tayari kwa safari ya Mwanza. Mabasi yakiwa tayari kwa...

 

11 years ago

Michuzi

TIMU YA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI TANZANIA YAWASILI SALAMA MKOANI MWANZA, ZOEZI KUANZA JUMAMOSI

Mabasi yaliyokuwa yamebeba timu nzima ya Proin Promotions Limited yakiwa yamewasili Mkoani Mwanza Usiku huu. Baadhi ya Timu ya Wafanyakazi Kutoka Kampuni ya Proin Promotions Limited ambao ndio waendeshaji na wasimamiaji wa Mashindano ya Kusaka Vipaji vya uigizaji Tanzania yajulikanayo kama Tanzania Movie Talents wakiwa wanashuka katika Moja ya Basi lililokuwa limebeba wafanyakazi na timu nzima ya Proin Promotions Limited mara baada ya kuwasili mkoani Mwanza Usiku huu. Timu nzima ya Proin...

 

11 years ago

Michuzi

VIJANA WA NYEGEZI MWANZA WAHAMASISHWA KUJITOKEZA KWA WINGI KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LIJULIKANALO KAMA TANZANIA MOVIE TALENTS LITAKALOFANYIKA KESHO JUMAMOSI ISAMILO LODGE KUANZIA SAA MOJA ASUBUHI

 Msanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael (Lulu) akikumbatiana na Mmoja wa Mashabiki wa Filamu zake katika Eneo la Nyegezi Mwanza Jioni ya Leo wakati wasanii wa filamu Tanzania walipotembelea eneo hilo kwa lengo la kutambulisha Shindano la Kusaka Vipaji vya Uigizaji Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents litakaloanza kesho Mkoani Mwanza, Mahali ni Isamilo Lodge Baadhi ya Wakazi wa Nyegezi Mwanza wakiwa wamekusanyika kwaajili ya kuwashuhudia wasanii wa filamu Tanzania...

 

11 years ago

GPL

SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA UIGIZAJI LAENDELEA VYEMA SIKU YA LEO

Baadhi ya washiriki wakielekezwa cha kufanya mara baada ya kupita kwa majaji.  Majaji wa mashindano ya kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents wakiwa makini kutazama kipaji kilichokuwa kikionyeshwa na mmoja wa washiriki (hayupo pichani) wakati alipofika kuonyesha kipaji chake, Kushoto ni Jaji Mkuu Roy Sarungi, akifuatiwa na Ivon Chery (Monalisa) na Single Mtambalike (Rich Rich). ...

 

11 years ago

GPL

WAKAZI WA MWANZA WAJITOKEZA KATIKA SHINDANO LA KUSAKA VIPAJI VYA KUIGIZA

Jukwaa la majaji likiwa tayari kwa shindano la kusaka vipaji vya kuigiza Tanzania lijulikanalo kama Tanzania Movie Talents ambalo linaanza leo mkoani Mwanza katika Kanda ya Ziwa.  Mafundi mitambo wakiwa tayari kwa kazi.   Kundi la kwanza la vijana waliojitokeza katika usaili wa…

 

10 years ago

CloudsFM

ADAM MCHOMVU KUWAVALISHA WEUSI KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA KUMI YA THT JUMAMOSI HII,ESCAPE ONE

Nyumba ya Vipaji Tanzania(THT)kuadhimisha miaka 10 tangu kuanzishwa kwake siku ya Jumamosi wiki hii pande za Escape One,Mikocheni jijini Dar.Siku hiyo ya maadhimisho kutakuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii waliopitia THT pamoja na wasanii wengine wakiwemo Linah Sanga,Amin,Recho,Mwasiti,Barnaba,n.k.Nyumba hiyo ya vipaji imeamua kuachana na kuwatoa wasanii wachanga kwa hiyo hao wanaomaliza ndiyo watakua wa mwisho,badala yake wameanzisha chuo cha ubunifu wa mavazi ambapo wabunifu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani