Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngadu ashinda mbio za pikipiki

Mwendesha pikipiki za michezo wa klabu ya Ruaha Motor Cycle Wilaya ya Kilosa, Mengi Ngadu ameibuka mshindi wa kwanza wa bonanza la Endula la mashindano ya pikipiki la kuukaribisha Mwaka Mpya 2014 na kuuaga mwaka 2013 lililofanyika Uwanja wa Sabasaba Manispaa ya Morogoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mkenya ashinda mbio za Frankfurt

Mark Kiptoo ameimarisha ushindi wake katika mashindano ya mbio za Frankfurt mwaka huu baada ya kuibuka mshindi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mmarekani Meritrea ashinda mbio Boston

Mmarekani mweusi, Meb Keflezighi, mzaliwa wa Eritrea ndiye mshindi wa mbio za nyika za Boston Marekani mwaka huu.

 

9 years ago

Bongo5

Hamilton ashinda mbio za ‘Russian Grand Prix’

Dereva wa Mercedes, Lewis Hamilton ameibuka mshindi wa mbio za Russian Grand Prix. Huo ni unakuwa ushindi wa tatu wa dunia. Hamilton alikuwa katika nafasi ya pili kuelekea dakika za mwisho mwisho za mashindano hayo kabla ya dereva mwenza wa Mercedes Nico Rosberg kukabiliwa na matatizo ya injini. Mjerumani Nico Rosberg alilazimika kuyaaga mashindano aliposhindwa […]

 

11 years ago

Michuzi

NMB YAWAKOMBOA VIJANA KIUCHUMI KWA KUWAPA MIKOPO NAFUU YA PIKIPIKI Ni mikopo kwa ajili ya pikipiki za miguu miwili na mitatu

 Benki ya NMB kwa kushirikiana na kampuni tatu yaani Fair Deal Auto Private Ltd inayosambaza pikipiki za miguu miwili na mitatu aina ya Bajaji, kampuni ya Car & General Limited Ltd inayosambaza pikipiki za miguu mitatu aina ya TV’S King pamoja na kampuni ya Quality Motors inayosambaza pikipiki za miguu miwili aina ya Honda wameingia ubia ili kuwawezesha wananchi kupata mikopo nafuu ya kumiliki pikipiki za miguu miwili na mitatu.   Hii yote ni katika kuendeleza azma ya NMB inayolenga kubuni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani