Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mmarekani Meritrea ashinda mbio Boston

Mmarekani mweusi, Meb Keflezighi, mzaliwa wa Eritrea ndiye mshindi wa mbio za nyika za Boston Marekani mwaka huu.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Mkenya na Mmarekani washinda Boston

Bingwa mtetezi wa mbio za Boston Marathon, Rita Jeptoo ameshinda mbio za Boston huku mmarekani Meb Keflezighi akishinda upande wa wanaume

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanariadha 30,00 kushiriki mbio za Boston

Wanariadha 30,000 kushiriki mbio za Boston Marathon, miaka miwili baada ya mashambulio ya mabomu kusababisha vifo vya watu 3

 

11 years ago

Mwananchi

Ngadu ashinda mbio za pikipiki

Mwendesha pikipiki za michezo wa klabu ya Ruaha Motor Cycle Wilaya ya Kilosa, Mengi Ngadu ameibuka mshindi wa kwanza wa bonanza la Endula la mashindano ya pikipiki la kuukaribisha Mwaka Mpya 2014 na kuuaga mwaka 2013 lililofanyika Uwanja wa Sabasaba Manispaa ya Morogoro.

 

10 years ago

BBCSwahili

Mkenya ashinda mbio za Frankfurt

Mark Kiptoo ameimarisha ushindi wake katika mashindano ya mbio za Frankfurt mwaka huu baada ya kuibuka mshindi.

 

9 years ago

Bongo5

Hamilton ashinda mbio za ‘Russian Grand Prix’

Dereva wa Mercedes, Lewis Hamilton ameibuka mshindi wa mbio za Russian Grand Prix. Huo ni unakuwa ushindi wa tatu wa dunia. Hamilton alikuwa katika nafasi ya pili kuelekea dakika za mwisho mwisho za mashindano hayo kabla ya dereva mwenza wa Mercedes Nico Rosberg kukabiliwa na matatizo ya injini. Mjerumani Nico Rosberg alilazimika kuyaaga mashindano aliposhindwa […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Miyeyusho amsikilizia Mmarekani

BONDIA Francis Miyeyusho ‘Chichi Mawe’, anaendelea na mazoezi ya kujifua kwa pambano lake la kuwania ubingwa wa dunia wa WBF dhidi ya bondia kutoka Marekani. Miyeyusho alifuzu kucheza pambano hilo...

 

10 years ago

Vijimambo

MSIBA BOSTON NA TANZANIA


Msiba - BostonDada yetu Francisca Mwaluli amefiwa na mwanawe Kevin(19yrs) jana July-20th Dar-es-Salaam, Tanzania. Our dear sister Francisca Mwaluli is bereaved of her son who passed away yesterday, July 20th. May Kevin's soul Rest in Peace, Amen. Msiba upo nyumbani kwake 340 Centre St, Jamaica Plain. Pole sana my dear Francisca MwaluliMungu ailaze roho ya marehemu Kevin mahali pema peponi, Amen.




 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani