Wanariadha 30,00 kushiriki mbio za Boston
Wanariadha 30,000 kushiriki mbio za Boston Marathon, miaka miwili baada ya mashambulio ya mabomu kusababisha vifo vya watu 3
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili22 Apr
Mmarekani Meritrea ashinda mbio Boston
Mmarekani mweusi, Meb Keflezighi, mzaliwa wa Eritrea ndiye mshindi wa mbio za nyika za Boston Marekani mwaka huu.
10 years ago
Michuzi12 Nov
ZAIDI YA WANARIADHA ELFU KUMI NA TANO KUSHIRIKI UHURUMARATHON 2014
ZAIDI ya wanariadha 15,000 kutoka ndani na nje wanatarajiwa kuthibitisha kushiriki katika mbio za Uhuru Marathon ambazo zinatarajiwa kufanyika Desemba 7 kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mratibu wa mbio hizo, Innocent Melleck, alisema kuwa maandalizi yako katika hatua za mwisho huku akimtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, anatarajiwa kuongoa mbio hizo.
Melleck pia alikabidhi ada ya Sh. Milioni mbili...
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mratibu wa mbio hizo, Innocent Melleck, alisema kuwa maandalizi yako katika hatua za mwisho huku akimtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, anatarajiwa kuongoa mbio hizo.
Melleck pia alikabidhi ada ya Sh. Milioni mbili...
11 years ago
MichuziWANARIADHA WA MBIO NDEFU WAWASILI ADDIS ABABA KWA AJILI YA MAZOEZI YA KUJIAANDAA NA MASHINDANO YA JUMUIYA YA MADOLA
10 years ago
BBCSwahili13 Apr
Tanzania kushiriki mbio za Kigali
Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazotegemewa kushiriki mbio za Kigali Marathon zitakazofanyika May 23-24.
11 years ago
BBCSwahili29 Apr
Nyota wa Kenya kushiriki mbio Bahamas
Janeth Jepkosgei atawakilisha Kenya nchini Bahamas mwezi ujao. Na John Nene
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/x5nfMUvOqsg/default.jpg)
10 years ago
Vijimambo22 Jul
MSIBA BOSTON NA TANZANIA
![](https://scontent-lga1-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpt1/v/t1.0-9/p526x296/11755259_10153520433392112_7238554944213601093_n.jpg?oh=e8783a8757cba27cadf968e25a225b12&oe=5614D936)
Msiba - BostonDada yetu Francisca Mwaluli amefiwa na mwanawe Kevin(19yrs) jana July-20th Dar-es-Salaam, Tanzania. Our dear sister Francisca Mwaluli is bereaved of her son who passed away yesterday, July 20th. May Kevin's soul Rest in Peace, Amen. Msiba upo nyumbani kwake 340 Centre St, Jamaica Plain. Pole sana my dear Francisca MwaluliMungu ailaze roho ya marehemu Kevin mahali pema peponi, Amen.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-iWQLdLp0ng8/U-8sr9XOsPI/AAAAAAAF__o/-8GgxoNhOc8/s72-c/IMG-20140816-WA0001.jpg)
Msiba Boston Massachusetts
![](http://2.bp.blogspot.com/-iWQLdLp0ng8/U-8sr9XOsPI/AAAAAAAF__o/-8GgxoNhOc8/s1600/IMG-20140816-WA0001.jpg)
kwa maelezo zaidi unaweza kuwasiliana naMartin Kibusi 16179436400Steven kibusi. 16173142910Margareth Pelelwa Shauri 7816326161Mapi Andrew Mwankemwa 857 251-8881 Vilevile unaweza...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania