ZAIDI YA WANARIADHA ELFU KUMI NA TANO KUSHIRIKI UHURUMARATHON 2014
ZAIDI ya wanariadha 15,000 kutoka ndani na nje wanatarajiwa kuthibitisha kushiriki katika mbio za Uhuru Marathon ambazo zinatarajiwa kufanyika Desemba 7 kwenye viwanja vya Leaders Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mratibu wa mbio hizo, Innocent Melleck, alisema kuwa maandalizi yako katika hatua za mwisho huku akimtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, anatarajiwa kuongoa mbio hizo.
Melleck pia alikabidhi ada ya Sh. Milioni mbili...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo19 Mar
WATOTO ZAIDI YA ELFU KUMI HUZALIWA NA SIKO SELI KILA MWAKA NCHINIâ€
10 years ago
MichuziWATOTO ZAIDI YA ELFU KUMI HUZALIWA NA SIKO SELI KILA MWAKA NCHINI
10 years ago
GPLWATOTO ZAIDI YA ELFU KUMI HUZALIWA NA SIKO SELI KILA MWAKA NCHINI
11 years ago
Michuzi08 May
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-7Km8K8v4UKA/VIGAm5UymWI/AAAAAAAG1YI/wahKwZBS3FE/s72-c/unnamed.jpg)
Tupo tayari kwa Uhurumarathon 2014
![](http://4.bp.blogspot.com/-7Km8K8v4UKA/VIGAm5UymWI/AAAAAAAG1YI/wahKwZBS3FE/s1600/unnamed.jpg)
MAANDALIZI ya mbio za Uhuru, Uhuru Marathon, zinazotarajiwa kufanyika Desemba 7 (jumapili) jijini Dar es Salaam yamekamilika, huku wanaridha kadhaa kutoka ndani na nje ya...
11 years ago
Dewji Blog09 May
10 years ago
BBCSwahili20 Apr
Wanariadha 30,00 kushiriki mbio za Boston
10 years ago
StarTV15 Jan
Wanafunzi elfu kumi wakatisha masomo Mbeya.
Na Mkombe Zanda
Mbeya.
Wanafunzi 10,881 wa shule za Msingi na Sekondari mkoani Mbeya wameacha masomo mwaka 2014 kutokana na sababu mbalimbali utoro ukitajwa kuongoza kukatisha masomo ya wanafunzi hao.
Hali hiyo imesababisha mkoa wa Mbeya kufaulisha asilimia 47 pekee ya wanafunzi waliofanya mtihani wa darasa la saba mwaka 2014 hivyo kushindwa kufikia kiwango cha ufaulu kitaifa ambacho ni asilimia 70 chini ya Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, BRN.
o que fazer viagra para homens
Idadi...