Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngorongoro kupima ardhi 

HALMASHAURI ya Wilaya ya Ngorongoro imepitisha azimio la kupima ardhi zote za vijiji vilivyopo tarafa za Sale na Loliondo ili kupunguza migogoro ya ardhi inayoendelea hivi sasa kati ya vijiji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

UTEKELEZAJI WA MIRADI YA MAENDELEO NDANI YA HIFADHI YA ENEO LA NGORONGORO SASA WAHAMISHIWA HALMASHAURI YA WILAYA YA NGORONGORO

MKUTANO wa siku tatu uliokuwa unafanyika kati ya Wizara ya Maliasili na Utalii na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro umemalizika leo Machi 26 mwaka huu wa 2020 kwa mafanikio makubwa.

Taarifa iliyotolewa leo kwa vyombo vya habari imeeleza mkutano huo wa siku tatu ulikuwa ukiongozwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala na moja ya majadiliano yalikuwa ni kuangalia utaratibu wa Usimamizi wa fedha zinazotolewa na Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro kwa ajili ya Baraza la...

 

9 years ago

Michuzi

HATIMAYE VIJIJI VINNE WILAYANI HANANG’ VIMEPOKEA HATI ZA HAKIMILIKI ZA KIMILA ZA ARDHI‏‎

  Mzee wa heshima akielezea historia ya umiliki wa ardhi miaka ya nyuma ukilinganisha na sasa. Makko Sinandei Mratibu wa Miradi wa shirika la UCRT alisema wamekutana na changamoto za migogoro ya mipaka katika vijiji ambayo inazuia kushindwa kupima mipaka katika vijiji husika. Baadhi ya akina mama wa Kijiji hicho wakifuatilia tukio.

Na mwandishi wetuWenyekiti wa vijiji vinne vya wilaya ya Hanang’ wamepokea hati za hakimiliki za kimila za ardhi ya vijiji vyao baada ya kuwa vimepimwa na wao...

 

9 years ago

Vijimambo

10 years ago

Habarileo

Wahamasishwa kupima saratani

WANAWAKE wote waliofikia umri wa miaka 30 wametakiwa kwenda kupima virusi vinavyosababisha saratani ya mlango wa kizazi.

 

11 years ago

Mwananchi

Wahaha mitaani kupima damu

 Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Tarime, inakabiliwa na ukosefu wa kipimo cha damu hali inayosababisha wagonjwa kutafuta huduma ya maabara binafsi.

 

10 years ago

Habarileo

Gharama za kupima ardhi kupunguzwa

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William LukuviSERIKALI imesema katika mwaka ujao wa fedha itapunguza gharama za upimaji ardhi kwa zaidi ya nusu ili kuwawezesha wanachi kupima maeneo yao, hali ambayo inaonekana itapunguza migogoro ya ardhi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wanaume wahofia kupima VVU’

KAMATI ya Ukimwi ya Halmashauri ya Kibaha Mji, mkoani Pwani,  imesema bado kuna kikwazo kwa wanaume hususan walio kwenye ndoa  kujitokeza kupima Virusi vya Ukimwi (VVU) na badala yake wanategemea majibu...

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania wahimizwa kupima afya

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Kebwe Stephen Kebwe amewataka wananchi kujenga utamaduni wa kupima afya zao ili kuzuia kasi ya ugonjwa wa Selimundu (Sickle Cell).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani