Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wahamasishwa kupima saratani

WANAWAKE wote waliofikia umri wa miaka 30 wametakiwa kwenda kupima virusi vinavyosababisha saratani ya mlango wa kizazi.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAHAMASISHWA KUPIMA AFYA

Daktari Hafidh Ameir toka Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS) akitoa elimu juu ya umuhimu wa kupima afya kwa wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Semina iliyofanyika Makao Makuu ya Wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Marcelina Henry akichukuliwa vipimo vya shinikizo la damu na Muuguzi toka Hospitali ya Amana jijini Dar es Salaam, Asma Msimbe wakati wa zoezi la kupima afya kwa wafanyakazi wa Wizara hiyo jijini Dar es...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Aga Khan kupima saratani mikoa 5

HOSPITALI ya Aga Khan, imesema inajiandaa kusambaza kampeni ya ‘Usisubiri Oktoba’ kwa mikoa mitano ambayo ni Dodoma, Iringa, Morogoro, Arusha na Mwanza. Hayo yalibainishwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa...

 

11 years ago

Habarileo

JK ahimiza wanawake kujitokeza kupima saratani

Rais Jakaya KikweteSERIKALI imeweka mikakati ya kuhakikisha inapunguza vifo vinavyotokana na saratani ya mlango wa kizazi na matiti nchini.

 

10 years ago

Michuzi

MAMA KIKWETE APEWA MASHINE YA KUPIMA SARATANI YA MATITI YENYE THAMANI YA ZAIDI YA DOLA 200000


Na Anna Nkinda – Maelezo, Washington.
29/9/2014 Chama cha Wanawake wa Afrika na Uelewa wa Saratani (African Women Cancer Awareness Assossiation - AWCAA) imemkabidhi Mke wa Rais Mama Salma kikwete mashine moja ya Mammogram ambayo inatumika kupima ugonjwa wa saratani ya matiti yenye thamani yazaidi dola za kimarekani laki mbili.
Makabidhiano hayo yalifanyika jana katika ukumbi  wa mikutano wa Ubalozi wa Tanzania uliopo mjini Washington D.C nchini Marekani.
Akiongea mara baada ya kukabidhiwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mama Salma Kikwete awataka wanaume kuwaunga mkono wake zao kupima saratani za matiti na shingo ya kizazi

mam10

Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yaadhimisha Siku ya Saratani Duniani na Watoto wenye Saratani Hospitali ya Taifa Muhimbili


exim1 Mkuu wa matawi wa Benki ya Exim, Bi. Elizabeth Mayengoh, akikabidhi vitabu kwa mmoja wa watoto waliolazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwenye wodi maalum ya watoto wanaougua ugonjwa wa saratani katika kuadhimisha siku ya saratani duniani. Wanaoshudia ni baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Exim na wazazi wa watoto hao. Benki hiyo ilikabidhi vifaa mbalimbali vikiwemo vyakula, vifaa vya kuchezea, sabuni, vifaa vya shule nk, lengo likiwa ni kujenga...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

9 years ago

BBCSwahili

Wanawake wahamasishwa kuwania uongozi TZ

Wanawake visiwani Unguja wahamasishwa kuwania uongozi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani