Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NGUMI KUFANYIKA MEI 16 BAGAMOYO MJINI

Na Mwandishi Wetu MPAMBANO mkali wa masumbwi utafanyika Bagamoyo Mei 16 katika ukumbi wa che kwa che uliopo Bagamoyo mjini mpambano uho utawakutanisha bondia Iddi Pialali wa Kiwangwa Bagamoyo atakaezipiga na Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam

mpambano uho utachezwa baada ya kila bondia kujigamba kuwa yeye ni zaidi ya mwenzie siku hiyo pia kutakuwa na mapambano ya utangulizi yatakayowakutanisha mabondia mbalimbali wenye upinzani mkali katika masumbwi

Rashidi Haruna atakumbana na Kaminja...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

NGUMI KUPIGWA MEI 16 BAGAMOYO MJINI

Na Mwandishi Wetu 
MABONDIA Iddi Pialali wa Kiwangwa Bagamoyo na Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam watapima uzito siku ya ijumaa katika stendi kuu ya mabasi Bagamoyo na kupigana siku ya jumamosi ya mei 16 katika ukumbi wa che kwa che uliopo Bagamoyo mjini, ambapo mabondia hao watamalizia ubishi wao wa nani zaidi kati ya Bagamoyo na Chanika.
Mpambano huo utakaosimamiwa na Chama cha Ngumi za Kulipwa P.S.T utakuwa wa raundi sita na kwa uzito wa kg 61, ambapo kutakuwa na mapambano mengine ya...

 

10 years ago

Vijimambo

NGUMI KUFANYIKA MKWAKWANI TANGA MEI 2

Na Mwandishi Wetu
Bondia Alen Kamote wa Tanga atapanda uringoni mei 2 katika uwanja wa mkwakwani tanga kukabiliana na Emilio Norfat katika mpambano wa raundi 12 mbali na mpambano uho siku hiyo pia kutakuwa na mapambano mengine makala moja ya mpambano wenye mvuto zaidi ni kati ya bondia mwenye makazi yake mkoa wa Morogoro Cosmas Cheka atakaekabiliana na Said Mundi kutoa mkoa wa tanga

promota wa mpambano uho Ally Mwazoa aliongeza kwa kusema mbali na mapambano hayo kutakuwa na mapambano mengine...

 

10 years ago

GPL

TAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27, 2015, MJINI BAGAMOYO

Mwenyekiti wa Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni, John Mponda (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu tamasha hilo litakalofanyika kuanzia tarehe 21 hadi 27, 2015 katika Kumbi na Viunga vya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa), mkoani Pwani. Kulia ni Katibu wa Tamasha hilo na Ofisa Biashara, Benjamini Malimbali na Ofisa Habari, Sophia Mtakajimbo. Hapa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamasha la Karibu International Music Festival kufanyika novemba, 2015 mjini Bagamoyo

Mratibu wa Tamasha la Karibu International Music Festival, Richard Lupia (kushoto), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam, kuhusu tamasha la pili litakalofanyika mwezi Novemba mwaka huu katika viwanja vya Mwanakalenge Bagamoyo. Tamasha hilo limeandaliwa na Taasisi ya Karibu Cultural Promotion na kuratibiwa na Kampuni ya Legendary Music Entertainment. Kulia ni Ofisa Habari wa Kampuni ya Karibu International Music Festival, Said Hashim.

Wanahabari wakichukua...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27, 2015, MJINI BAGAMOYO MKOANI PWANI

  Hapa Mwenyekiti wa Tamasha hilo, John Mponda (kulia) akisisitiza jambo kuhusu tamasha hilo. Kushoto ni Ofisa Habari wa Tamasha la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa). Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo.

KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yazinduliwa mjini Bagamoyo leo

Mkurugenzi wa kampuni ya 4Beli, Gilbert Herman (kulia) akihutubia wakati uzinduzi wa mashindano ya Mbio Ndefu ya Bagamoyo Historical Marathon 2015 yanatarajiwa kutimua vumbi Juni 14 mwaka huu mjini Bagamoyo Mkoani Pwani. Uzinduzi huo ulifanyika Bagamoyo, Pwani leo. Wengine kutoka kushoto ni, Kaimu Ofisa Michezo Wlaya ya Bagamoyo, Hamisi Kimenya, Mwenyekiti wa Riadha Tanzania Mkoa wa Pwani, Joseph Luhende na Mkurugenzi Msaidizi Ukaguzi na Uhakiki wa Ubora wa Hudumaza Afya kutoka Wizara ya...

 

10 years ago

Michuzi

BODI YA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI GEREZA KIGONGONI - BAGAMOYO,SHIRIKA LA MAGEREZA NA KAMPUNI YA TARBIM WAKUTANA LEO MJINI BAGAMOYO

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Tarbim, Bw. Baddal Calikusu akitoa maelezo mafupi kabla ya Ufunguzi wa Kikao cha kwanza cha Bodi ya Mradi wa Ubia wa Kilimo cha Umwagiliaji unaotarajiwa kuanza rasmi kutekelezwa katika eneo la Magereza, Gereza Kigongoni Bagamoyo(kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Magereza, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, John Masunga. Kikao hicho kimefanyika katika Ukumbi wa Hoteli ya Green Park iliyoko Bagamoyo. Wajumbe wa Bodi ya mradi wa Kilimo cha...

 

10 years ago

GPL

TASWIRA YA BONAZA LA MEI MOSI BAGAMOYO

Kikundi cha ngoma za asili, Magic Theatre cha Mbezi jijini Dar es Salaam, wakiserebuka katika Bonanza la Mei Mosi lililofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kiromo, Bagamoyo, Pwani.
Kikosi cha timu ya Global FC katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya Nianjema FC, katika Bonanza la Mei Mosi kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kiromo, Bagamoyo.
Kikundi cha Bagamoyo Jogging wakiwa… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani