Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TASWIRA YA BONAZA LA MEI MOSI BAGAMOYO

Kikundi cha ngoma za asili, Magic Theatre cha Mbezi jijini Dar es Salaam, wakiserebuka katika Bonanza la Mei Mosi lililofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kiromo, Bagamoyo, Pwani.
Kikosi cha timu ya Global FC katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya Nianjema FC, katika Bonanza la Mei Mosi kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Kiromo, Bagamoyo.
Kikundi cha Bagamoyo Jogging wakiwa… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA SHEREHE YA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM

Maandamano ya wafanyakazi yakiingia Uwanja wa Uhuru na kupokelewa na Rais Kikwete  Wafanyakazi wa Daily News na Habari Leo  Rais Kikwete na Mama Salma Kikwete wakiwasili Uwanja wa Uhuru.…

 

11 years ago

Michuzi

TASWIRA ZA SHEREHE ZA MEI MOSI UWANJA WA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Mkurugenzi wa NSSF, Dkt. Mohammed Dau (Wapili kulia), na mkurugenzi mkuu wa PPF, William Erio, na mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya udhibiti wa mifuko ya hifadhi ya jamii, (SSRA), Irine Isaka (Kushoto), wakifuatilia maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Duniani kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam leo.  Rais Jakaya Kikwete, akimkabidhi hundi ya shilingi milioni 5, mfanyakazi bora wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, Herman Kachima, wakati wan kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani ambapo kitaifa...

 

11 years ago

Mwananchi

Kalama ajipanga Mei Mosi

Bondia Kalama Nyilawila amesaini mkataba kwa ajili ya kupanda ulingoni Mei Mosi kumkabili mshindi baina ya Thomas Mashali na Japhet Kaseba.

 

11 years ago

GPL

LEO MEI MOSI JK KUHUTUBIA

RAIS Jakaya Kikwete (pichani) anatarajiwa kuwa mgeni rasmi na kuhutubia katika sherehe za wafanyakazi, Mei Mosi zitakazofanyika leo jijini Dar es Salaam. Kaimu Katibu Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), Hezron Kaaya mapema wiki hii aliwaambia wanahabari kuwa maadhimisho ya Sikukuu ya Mei Mosi mwaka huu yatafanyika kitaifa katika Uwanja wa Uhuru mkoani Dar es Salaam. “Katika kikao chetu na Rais Kikwete...

 

10 years ago

Habarileo

Bomu lajeruhi 5 mei mosi

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Morogoro, Leonard Paulo.WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47), wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.

 

10 years ago

Habarileo

Bomu lajeruhi watano Mei Mosi

Mmoja wa majeruhi akiwa hospitalini kwa matibabu.(Na Mpigapicha Wetu)WATU watano akiwemo dereva wa gari linalotumiwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilombero, David Ligazio ,Novatus Ngope (47), wamejeruhiwa vibaya na shambulio la kitu kinachodhaniwa ni bomu la kutupwa na mkono kutoka kwa watu wawili wasiofahamika walipokuwa kwenye sherehe za Siku ya Wafanyakazi Duniani juzi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Sherehe za Mei Mosi Mwanza zafana

 Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa wakipita ya mgeni wa heshima Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng.Evarist Welle Ndikilo wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza ,matembezi hayo yalihitimishwa kwenye uwanja wa CCM Kirumba.

 Wafanyakazi wa Mkemia Mkuu wa Serikali wakiingia uwanjani CCM Kirumba Mwanza wakati wa maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi mkoa wa Mwanza.

unnamed

 Wafanyakazi wa Idara ya Maliasili wakiingia uwanjani CCM Kirumba katika kuhitimisha siku ya wafanyakazi..

 

11 years ago

Mwananchi

Mbeya waalikwa maadhimisho ya Mei Mosi

Wafanyabiashara mkoani mkoani hapa wamealikwa kwenda wilayani Kyela kushiriki maonyesho ya Siku Kuu ya Wafanyakazi yatakayofanyika kwenye viwanja vya Mwakangale kuanzia Aprili 28 hadi Aprili 30.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani