Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nguvu zielekezwe uboreshaji daftari la wapigakura na sheria

TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) pamoja na sheria ya uchaguzi ni miongoni mwa vyombo muhimu vinavyoweza kusababisha matokeo ya uchaguzi kukubalika au kulalamikiwa kimazingira kuwa hayakuwa ya huru na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Uboreshaji wa Daftari la Wapigakura sasa mwakani

Mwenyekiti wa NEC, Jaji Mstaafu, Damian LubuvaMWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema uboreshaji wa Daftari la Wapigakura umechelewa kuanza kutokana na kuchelewa kuagiza vifaa vya kufanya kazi hiyo kwa wakati, hivyo kazi hiyo sasa itafanyika mapema mwakani.

 

11 years ago

Mwananchi

NEC, Upinzani wakinzana kuhusu uboreshaji wa daftari la wapigakura

>Serikali imeeleza nia yake ya kufanya maboresho kwenye Daftari la Wapigakura katika mwaka huu wa fedha 2014/15, ikitumia mfumo wa biometric ambao, hata hivyo, unalalamikiwa na vyama vya upinzani nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Daftari la Wapigakura kuboreshwa

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), imesema Daftari la Kudumu la Wapigakura, litafanyiwa marekebisho kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya, ili kuwawezesha vijana waliotimiza umri wa miaka 18, ambao hawakujiandikisha, kupata fursa ya kupigakura.

 

11 years ago

Habarileo

Daftari la Wapigakura kuboreshwa mwakani

MWENYEKITI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva amesema uboreshaji wa Daftari la Wapigakura umechelewa kuanza kutokana na kuchelewa kuagiza vifaa vya kufanya kazi hiyo kwa wakati, hivyo kazi hiyo sasa itafanyika mapema mwakani.

 

10 years ago

Mwananchi

Silaa: Jiandikisheni Daftari la Wapigakura

Wakazi wa Mkoa wa Lindi wametakiwa kujitokeza kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapigakura ili waweze kushiriki kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba mwaka huu.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yaonya daftari la wapigakura

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi akifafanua jambo kwa waandishi wa habari.WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge) William Lukuvi, ameonesha kutoridhishwa na utaratibu mbovu unaotumika kuandikisha wananchi katika daftari la kudumu la wapiga kura, kutokana na kuwa na mianya inayoweza kuingiza wasio raia wa Tanzania.

 

10 years ago

Habarileo

Chadema yazungumzia daftari la wapigakura

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuchukua hatua za haraka kurekebisha makosa yaliyojitokeza katika Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

 

11 years ago

Mwananchi

Nec: Daftari la wapigakura litaboreshwa

Pamoja na kushindwa kutaja tarehe rasmi ya kuanza kuboresha daftari la kudumu la wapigakura, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema daftari hilo litaboreshwa kabla ya kuanza kwa upigaji wa kura ya maoni kwa ajili ya kupata Katiba Mpya.

 

10 years ago

Mwananchi

Daftari la wapigakura D’Salaam kizungumkuti

Uhakiki wa majina ya wananchi watakaokuwa na sifa za kupiga kura Oktoba 25,  umeanza utekelezaji wake Dar es Salaam, huku katika baadhi ya kata vitabu vya majina vina taarifa zilizochanganywa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani