NHC yatoa mafunzo ufyatuaji tofali za kisasa
VIJANA 40 wilayani hapa, wameanza mafunzo ya siku saba kufyatua tofali za kisasa ili kusaidia kupunguza uharibifu wa mazingira pia kuondosha tatizo la ajira na kuinua kipato kwa vijana. Mratibu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
NHC yaelezea namna ilivyosaidia vijana kupitia mradi wa ufyatuaji wa matofali na ujenzi wa nyumba za gharama nafuu
Meneja wa Mkoa wa Tabora Bw. Erasto Chilambo, akimpa maelezo ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu Mkuu wa Mawasiliano na Huduma kwa Jamii Bi Susan Omari alipotembelea mradi huo ulioko eneo la Isikizya Wilayani Uyui jana. (Picha kwa hisani ya Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Jamii cha Shirika la Nyumba la Taifa).
Mwonekanao wa nyumba za gharama nafuu zilizojengwa na NHC eneo la Isikizya Mkoani Tabora.
Meneja wa Mkoa wa Tabora Bw. Erasto Chilambo akiendelea kutoa maelezo ya...
10 years ago
Michuzi09 Jan
ARUSHA KUPATA MIJI MIWILI YA KISASA-NHC
Pichani.
10 years ago
Mwananchi02 Nov
NHC sasa kujenga miji ya kisasa Dar es salaam
9 years ago
StarTV08 Oct
NHC yashauriwa kujenga nyumba za kisasa pembezoni mwa miji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho Kikwete amewashauri watendaji wa shirika la nyumba kuwa wabunifu kwa kujenga nyumba zenye hadhi ya juu pembezoni mwa mji ili kupunguza msongamano katikati ya jiji la Dar Es Salaam.
Pia amelitaka shirika la nyumba la taifa kujiunga na mkongo wa taifa ili kuweza kufanya shughuli zake kupitia mtandao na kurahisisha upatikanaji wa huduma kwa watanzania.
Akiweka jiwe la msingi kwenye mradi wa Morroco Square, ulio chini ya shirika la...
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
NHC yatoa mashine za matofali Kagera
SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC), limetoa mashine 28 za kufyatulia tofali zenye thamani ya sh milioni 12.6 lengo ikiwa ni kuwasaidia vijana kujiajiri na kuondokana na umasikini. Akizungumza katika...
9 years ago
Michuzi
UJUMBE WA SHIRIKA LA NYUMBA UGANDA WAFANYA ZIARA YA MAFUNZO NHC TANZANIA

5 years ago
Michuzi
Tandahimba yatoa eneo ujenzi wa kiwanda na ghala la kisasa
Ameyasema hayo leo ofisini kwake wakati na kueleza kuwa kiwanda na ghala zitaleta tija kwa wakulima wa korosho ndani ya Wilaya
"Tunatoa eneo kwa ajili ya mtandao wa kijani kibichi Tanzania(Mkikita) ambao wanahitajibkujenga kiwanda na ghala,hivyo sisi Kama halmashauri tunawakaribisha kwakuwa maeneo yapo kwa ajili ya uwekezaji," amesema Msomoka
Naye mkurugenzi wa Mtandao wa...
5 years ago
Michuzi
VIJANA WATAKIWA KUTUMIA UJUZI WA MAFUNZO YA KILIMO CHA KISASA KUJIKWAMUA KIUCHUMI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (kulia) akieleza jambo alipokuwa akikagua kitalu nyumba kilichopo Nangara, Mkoani Babati. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Manyara Bi. Elizabeth Kitundu.

Baadhi ya vijana wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) alipowatembelea vijana hao kukagua maendeleo ya mafunzo...