NHIF kuhudumia wamachinga
MFUKO wa Bima ya Afya wa Taifa (NHIF) umeanzisha mpango utakaowawezesha wamachinga na wajasiriamali walio katika vikundi, kupata huduma ya matibabu kwa njia ya bima.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili12 Sep
Wanajeshi kuhudumia wakimbizi Ujerumani
9 years ago
Habarileo19 Oct
Songwe kuhudumia ndege za kimataifa
KIWANJA cha ndege cha Songwe mkoani Mbeya kitaanza kuhudumia ndege za kimataifa kuanzia mwakani, baada ya kukamilika kwa miundombinu yote, ikiwemo taa kwa ajili ya ndege kutua nyakati za usiku.
11 years ago
Tanzania Daima01 May
Serikakali yahimizwa kuhudumia wazee
SERIKALI imetakiwa kuwahudumia wazee nchini kama imevyowahudumia baadhi ya viongozi wakubwa waliostaafu. Ushauri huo ulitolewa mjini japa jana na Meya wa Manispaa ya Moshi Japhary Michael (CHADEMA) alipokuwa akikabidhi msaada...
11 years ago
Habarileo05 Jul
UNEP yaikabidhi Tanzania mitambo ya kuhudumia majokofu
TANZANIA imepokea msaada wa mitambo na vifaa vyenye teknolojia ya kisasa ya kuhudumia majokofu, viyoyozi na mitambo ya kupozea.
10 years ago
Mwananchi23 Oct
Wauguzi wa zahanati watumia chemli kuhudumia wagonjwa
9 years ago
Habarileo19 Oct
Kila kituo kuhudumia wapigakura wasiozidi 500
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeandaa vituo vya kupigia kura 64,736. Kati ya hivyo, Tanzania Bara ina vituo 63,156 na Zanzibar 1,580 na kila kituo kimepangwa kuwa na uwezo wa kuhudumia wapiga kura 450 na wasiozidi 500.
11 years ago
Tanzania Daima05 Aug
Tatizo ni wamachinga au wateja?
HIVI karibuni serikali kupitia Mamlaka ya Usafirishaji wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra) ilikihamisha kituo cha mabasi ya daladala kutoka eneo la Mwenge kwenda Makumbusho. Kitendo hiki kimeathiri makundi ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pR5HeeeEQZ571D6vdE3AeMZSOr2ErD*fcX2ydJj6TrAGWB-aY2*PdaOpI3lecklZzjPcU*7RbSgvEpb8vjX*rn/wamachinga.jpg)
WAMACHINGA WAMUUA ASKARI
11 years ago
Tanzania Daima12 Apr
Tatizo si wamachinga, ni serikali
HIVI karibuni Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) ilitangaza kuanzisha Operesheni Safisha Jiji ya kuwaondoa wamachinga wote walio katika maeneo yasiyo rasmi jijini Dar es...