Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UNEP yaikabidhi Tanzania mitambo ya kuhudumia majokofu

Mkurugenzi wa Mazingira kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais, Julius NinguTANZANIA imepokea msaada wa mitambo na vifaa vyenye teknolojia ya kisasa ya kuhudumia majokofu, viyoyozi na mitambo ya kupozea.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

elimu kwa umma juu ya njia bora za kuhudumia majokofu na viyoyozi ili kulinda tabaka la Ozoni.

 Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Angelina Madete akitoa hotuba ya ufunguzi wa warsha ya Mafunzo ya wakufunzi kutoka Vyuo vya Ufundi Nchini katika Hotel ya Blue Pearl jijini Dar es Salaam Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Eng. Angelina Madete (Katikati) na Mkurugenzi wa mazingira Dkt. Julius Ningu (Kulia) wakimsilikiza Bw. Julio Esterban Mshauri Mwelekezi kutoka UNIDO akitoa ufananuzi kwa wakufunzi kutoka Vyuo vya ufundi nchini.  Sehemu ya washiriki wa warsha...

 

11 years ago

Michuzi

Ofisi ya Makamu wa Rais yatoa mafunzo kwa vijana jinsi ya kutumia njia bora za kuhudumia Majokofu na Viyoyozi

Kundi la washiriki kutoka mkoa wa Dar es Salaam wakielekezana jinsi ya kutumia vifaa rafiki ya kuhudumia Majokofu na Viyoyozi siku ya pili ya mafunzo jijini Dar es Salaam. Sehemu ya wakufunzi kutoka vyuo vya ufundi Mbeya, Mwanza na Mkunazini – Zanzibar wakijifunza kwa vitendo jinsi ya kutumia njia rafiki ya kuhudumia majokofu na viyoyozi bila ya kuharibu tabaka la Ozoni. Picha na Rashda Swedi.

 

10 years ago

Vijimambo

TANZANIA YAIKABIDHI MALAWI MSAADA KWA AJILI YA WAHANGA WA MAFURIKO

Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Mhe. Patrick Luciano Tsere (kulia) akikabidhi Dawa za Binadamu na Mahindi kwa Bw. Paul Chiunguzeni, Katibu Mkuu na pia Kamishna anayeshughulikia masuala ya Maafa aktika Ofisi ya Makamu wa Rais wa Malawi ikiwa ni sehemu ya msaada wa Tani 1,200 za Mahindi na Dawa za Binadamu zilizotolewa na Serikali ya Tanzania kwa nchi hiyo kufuatia mafuriko makubwa yaliyoikumba nchi hiyo mwezi Januari 2015. manajdhdfdufdhuf Bw. Paul Chiunguzeni, Katibu Mkuu na pia...

 

11 years ago

Mwananchi

UGHAIBUNI: Ukarimu wa Tanzania kuhudumia wakimbizi na gharama inazolipa

>Ninaikumbuka Dar es Salaam ya miaka ya sitini. Bandari hiyo ilikuwa kweli ya salama, hasa kwa wakimbizi kutoka sehemu mbalimbali za Afrika. Ukiacha mji mkuu wa Misri, Cairo, mji huo wa Tanzania ulikuwa ni kituo muhimu katika harakati za vyama vya ukombozi katika Afrika.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mitambo ya umeme kufungwa Tanzania

Gazeti la the Citizen nchini Tanzania limeripoti kwamba mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia maji itafungwa kutokana na viwango vya chini vya maji.

 

11 years ago

BBCSwahili

Mitambo ya analojia yazimwa Tanzania

Tanzania imeingia awamu ya 2 ya mpango wake wa kuhama kutoka mfumo wa analojia kwenda dijitali, kwa kuzima mitambo ya analojia katika baadhi ya miji

 

11 years ago

Michuzi

UFUNGUZI WA WARSHA YA MAFUNZO YA MAFUNDI MAJOKOFU NA VIYOYOZI JIJINI ARUSHA LEO

Pichani kulia ni Mkurugenzi msaidizi Idara ya Mazingira kutoka ofisi ya makamu wa Rais Bi Magdalena Mtenga, akifafanua jambo katika ufunguzi wa warsha ya mafunzo ya mafundi majokofu na viyoyozi kuhusu teknolojia mbadala za upozaji na rafiki kwa tabaka la ozoni mjini Arusha leo. Sehemu ya washiriki katika warsha ya Mafunzo ya mafundi majokofu na viyoyozi mjini Arusha kuhusu Teknolojia Mbadala za upozaaji  na rafiki kwa tabaka la ozoni. Aliyesimama, Mkurugenzi wa idara ya Mazingira Ofisi...

 

10 years ago

Habarileo

Oman yaikabidhi SMZ bil. 12.3/-

SERIKALI ya Oman imeikabidhi Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) hundi ya Sh bil 12.3 kwa ajili ya kiwanda cha uchapishaji, pamoja na nyaraka za magari 10 ya msaada, yaliyotolewa yatumiwe na viongozi.

 

11 years ago

Dewji Blog

Tiper yaikabidhi Serikali gawio la zaidi ya shilingi bilioni 1

DIGITAL CAMERA

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servarcius Likwelile (wa pili kushoto) akipokea hundi yyenye thamani y ash. Bilioni moja ktoka TIPER gawio la hisa katika hafla iliyofanyika leo mjini Dodoma. Wa kwanza kshoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa TIPER Daniel Belair, Wa pili kulia ni Mwenyekiti Mtendaji wa Bodi ya Wakurugenzi ya TIPER Prof. Abdulkarim Mruma na Wizara ya fedha Kaimu Msajili wa Hazina Elius Mwakabinga (wa kwanza kulia).

Serikali imepokea shilingi bilioni moja kutoka TIPER ikiwa ni gawio...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani